Ukabila ndio umembeba Kenyatta, si sera!


Hayo ni wa Kenya kuamua na wala si wazungu wala wabeberu.

Hii nchi ni ya wakenya na hata Rais Kikwete alikua wakwanza kusema
yakwamba wa Kenya wasiingiuliwe na yeyote na waachwe wajiamuliwe.

Na akaendelea kuhakikishia wa Kenya yakwamba ata shirikiana na
yeyote Mkenya atakae mchagua.
 
I see bloodbath.God forbid


Uuuuuuuuummmmmm,,,,which one??????You see bloodpath then,,,,,
god forbid?????????If there is any,,,he,she cannot,,the way he ,,she
didn't (God),,,,,,,, in 2007,,,,but,,this is 2013 with,,a different
environment,,different political alignments.

Utangojea lakini ng'ooooo,,,,hata CNN ilituma ngenge la ma
journalist lakini by now,,,,wameanza kufa roho.

Iko kile kilichofanya wa Kenya wapigane.

Nimeshangazwa na wengi na haswa hawa
wazungu(mabepari) ambao nilifikiri ati ni
super smart kumbe ni ngozi nyeupe tuu lakini
wengi ni bongo lala.

Hehehehe,,,hata hauna habari yakwamba ni wa Kikuyu
na wa Kalenjin ambo walikatana na mapanga na
sasa wako pamoja.

Ama,,,,ninani na nani atakae pigana????????

Mwisho,,,vita vya 2007 vilianza baada
ya kusekana yakwamba rais Kibaki
alikua ameiba kura.

Mara hii,,,ninani atakae iba kura?????

Uhuru Kenyatta,,deputy prime minister
amuibie prime minister Raila Odinga????

Si ni kichekesho,,,hehehehehehe,,,,,

Ama,,,,IEBC?????????????????????????????:A S shade:
 
 

Hilo la kusema wamemchagua mtu mwenye tuhuma nadhani siyo sahihi! naamini wakenya wana akili za kuwatosha na wamemchagua mtu (endapo UHURU atashinda) wanayemtaka wao na siyo kile the hague inachosema. Wao za kuambiwa wamechanganya na za kwao! Ifike mahali tuache kusikiliza na kutenda kila tunachoambiwa!
 
"Ukabila ni dosari ndogo ndogo". Hujasikia watu hapa janvini wanadai siasa za Kenya ni nzuri zaidi ya siasa za Tanzania.

Sio dosari ndogo mkuu,walichinjana hawa watu kwa hiyo dosari unayosema ndogo
 
Sio dosari ndogo mkuu,walichinjana hawa watu kwa hiyo dosari unayosema ndogo
Mkuu ungesoma vizuri ujumbe wangu ungeelewa nilikuwa nina maana ipi, ndiyo maana nikaweka inverted commas kwenye hilo neno. Kuna watu walikuwa wanasema matatizo yaliyojitokeza ya ukabila ni madogo madogo ambayo hayawezi kuathiri siasa za Kenya.
 

Vp tulisikia na R A naye alienda kenya kumsaidia sikumbuki ni nani ? Nakumbuku ni Odinga lakini sina uhakika vp ameishia wapi na yeye.
 
Wakubwa wanataka Odinga achukue kiti kaaaaazi kweli kweli
 
Kwanza natowa shukrani zangu kwa wana jamii wote,mimi ni shabiki mpya,lakini napendezewa sana na mijadala yenu,hasa kuhusu siasa za kenya.nikiwa kama mkenya namuunga mkono huyu ndugu,ya kwamba ukabila ndio uliombeba Uhuru,umegonga ndipo,ndugu,100%,kama ni sera tungempa kura peter keneth,lakini nina wahusia ndugu zangu wa TZ,mumshukuru sana mwalimu kwa kuwaweka watanzania kama kaka na dada.wakenya tuna waonea wivu.nawatakia kheri Wabongo.alamsik.
 
Analysis ndogo niliyoifanya inaonyesha kuwa kenya bado ni tribalistic country. Ukiangalia pattern ya kura zilizopigwa utaona. Kenyata hakupata kura nyingi magharibi na odinga hakupata kura nyingi central province lakini upande wa coast wengi wamempigia odinga [lakini iweleweke pia coast kuna westerners wengi sana after nairobi. kwa kina mudavadi, siyo odinga wala kenyata aliyepata kura huko
 
Two People have been arrested in regard to Hacking of IEBC

Sources indicate that the I.E.B.C realized that their system had been hacked into. The programmer was given instruction to input a permanent difference between UHURU and RAILA with more than 400,000 votes.

It had been realized that it could not be changed under any circumstances (after being programmed), unless they posted the data a fresh. 2 guys have been arrested, while 2 others are on the run.

There is a lot of scrutiny at BOMAS and people are on high alert. Any form of inaccurate tally is put aside and INDIVIDUALS involved personally HELD RESPONSIBLE

Having detected this at around 3pm yesterday, the Commission had no option but to fully go manual. It would have been worse had it not been detected.

The figures are already changing. Poll results the main TVs are showing is old data.
 
kama ni hivyo mbona kutaelekea kule kule kwa enzi zile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…