Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku si nyingi aibu yenu itajitokeza hadharani; TFF sio biashara ya magendo!!!
Mkuu wangu, mi nadhani ungetumia kauli za staha ungeeleweka zaidi...Kwa post yako hii mtu akikusoma na kuangalia jina lako anajua kabisa wewe ni Mhaya na unaendekeza ukabila....Wewe ni -------- kuliko wote na inaonekana una chuki na wahaya. Ukweli ni kwamba wahaya wamesoma sana na wametapakaa kila mahali na kila sekta ata uende vyuoni, mabenki, mawizara, taasisi na hata ulaya na marekani utawakuta tu. na hakuna kazi utatangaza ukose mhaya aliyeomba. Tatizo lenu mnaendekeza ukabila kuliko sifa za mtu. Kama hawana sifa sema sio unabwabwaja tu.
Wewe ni -------- kuliko wote na inaonekana una chuki na wahaya. Ukweli ni kwamba wahaya wamesoma sana na wametapakaa kila mahali na kila sekta ata uende vyuoni, mabenki, mawizara, taasisi na hata ulaya na marekani utawakuta tu. na hakuna kazi utatangaza ukose mhaya aliyeomba. Tatizo lenu mnaendekeza ukabila kuliko sifa za mtu. Kama hawana sifa sema sio unabwabwaja tu.
Mkuu wangu, mi nadhani ungetumia kauli za staha ungeeleweka zaidi...Kwa post yako hii mtu akikusoma na kuangalia jina lako anajua kabisa wewe ni Mhaya na unaendekeza ukabila....
Cha msingi ni kuangalia je, waombaji (akiwemo Katibu mkuu Mwesiga ambaye ana Bachelor ya International Relations) walikidhi sifa hizi hapa chini ambazo ndizo ziliainishwa katika tangazo la ajira?...
Key qualifications and experience
-At least seven years' working experience, with at least three years in managerial post;
-Hold a related second degree in Business Administration, Sports Administration and Management, Physical Education or equivalent qualifications
-Self-starter, proactive, independent, motivated, team work and with an outgoing personality;
-Excellent communication skills;
-Strong interest in sports, especially football;
-Strong Kiswahili and English communication skills (Oral, written and presentational). Knowledge of other International languages shall be an added advantage;
-Proficient in computer system and micro office suites
-A football background, i.e a former player, referee, coach or administrator but not necessarily at international level will be an added advantage.
Kwa mujibu wa Escobar Mwesigwa hana sifa hizo. Kulingana na tangazo la malinzi Mwesigwa ana bachelor ya international relation, nafasi ya katibu mkuu ilihitaji mtu awe na Masters Degree ya Uongozi, Michezo na Physical education. Sasa kama siyo ukabila kwa nini wamemchukua mtu ambaye hana sifa na kuwaacha watu wenye elimu inayohitajika na experience. Naweza kusema jamaa ameanza vibaya na hata fika mbali kwa uongozi huu wa kikabila
hadi miaka hii bado tuna jadili kabila la mtu jamani!.. hio ni dhambi ya ubaguzi ,mtu kama anakidhi vigezo ndiyo asipewe kazi kisa kabila lake? Sote ni watanzania ndugu zangu ama uwe muhadzabe au muhaya alimradi uwe navyo vigezo tu ,vya msingi!
Mkuu mbona povu!!! Kwa hiyo Wahaya ni Wasomi mpaka akiwa na degree ni sawa na kabila lingine akiwa na masters ama???? Mkuu escober katoa mfano hai kabisa mojawapo ya vigezo vya nafasi ya Ukatibu mkuu ilikuwa ni masters degree cha ajabu aliyeteuliwa hana baadhi ya sifa ikiwamo ya Elimu lakini kapewa na wengine wenye sifa wameachwa.. kama sio kigezo cha Uhaya kimembeba ni nini??? Wahaya, Wanyakyusa na Wachaga ni wakabila saaaaana
Wewe ni -------- kuliko wote na inaonekana una chuki na wahaya. Ukweli ni kwamba wahaya wamesoma sana na wametapakaa kila mahali na kila sekta ata uende vyuoni, mabenki, mawizara, taasisi na hata ulaya na marekani utawakuta tu. na hakuna kazi utatangaza ukose mhaya aliyeomba. Tatizo lenu mnaendekeza ukabila kuliko sifa za mtu. Kama hawana sifa sema sio unabwabwaja tu.
Mimi niliwahi kusema malinzi ni mhuni na mwizi wa fedha watu wakanibishia, mtaipata fresh sasa
Well done Jamal Malinzi...
Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya
na wewe Big Boss wetu ni Mhaya...
Asante sana. World cup here we go..2018.
Source: facebook page ya.Edo Kumwembe
Ila Nasema kweli Jamaa kafanya makusudi kabisa kuchagua watu wa labila lake. Nakumbuka alivoingia tu alianza kunichefua. Kwa mwnzo huu anakosa uwezo wa kutusogeza mbele maana WATU wakianza kukuandama mapema Hivi ni laana sio baraka. Namshauti abadilike na ajue kuwa watz hatutki ubabaishaji wa hivo