Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Coincidence? Tribalism? Kunahitajika maelezo/ufafanuzi wa mapema. Je, inawezekana pia kuwa watu hawa wamekuwa wakinyimwa fursa (pamoja na kuwa na sifa stahili) na uongozi uliopita kwa sababu ya kabila lao?
 
Wewe ni -------- kuliko wote na inaonekana una chuki na wahaya. Ukweli ni kwamba wahaya wamesoma sana na wametapakaa kila mahali na kila sekta ata uende vyuoni, mabenki, mawizara, taasisi na hata ulaya na marekani utawakuta tu. na hakuna kazi utatangaza ukose mhaya aliyeomba. Tatizo lenu mnaendekeza ukabila kuliko sifa za mtu. Kama hawana sifa sema sio unabwabwaja tu.
 
Ila wahaya noma kuna shule moja hivi ya wahaya ipo tabata pale maarufu sana, kuanzia walinzi, madereva, walimu, wahasibu, wapishi wote wahaya, ila si vibaya kama wanapiga kazi ingawa wa makabila wengine wanaona wanatengwa.
 
Hana makosa kwani hakuna kitu kibaya kama hatua za mwanzoni hivi mnagundua madudu ambayo yapo ndani ya chama. waswahili wanasema bora kinga kuliko tiba....hii ni hatari lazima ajiuzuru....sidhani kama wahaya tu ndo wanaweza kulikomboa taifa hasa katika maswala ya michezo sidhani nasema sidhani huu ni utani wa hali ya juu tumechoka tena tumechoka sana na upumbavu unaofanywa na baadhi ya watu katika nchi hii
 
Ingekuwa uongozi miaka ya nyuma uliokuwa na sura ya kitaifa umefanya vizuri kiasi kwamba tunaogopa huu wa sasa utaharibu basi tungepiga kelele za ukabila.

Cha msingi ni kama wanavigezo na kuwapa ushirikiano.
 
Wewe ni -------- kuliko wote na inaonekana una chuki na wahaya. Ukweli ni kwamba wahaya wamesoma sana na wametapakaa kila mahali na kila sekta ata uende vyuoni, mabenki, mawizara, taasisi na hata ulaya na marekani utawakuta tu. na hakuna kazi utatangaza ukose mhaya aliyeomba. Tatizo lenu mnaendekeza ukabila kuliko sifa za mtu. Kama hawana sifa sema sio unabwabwaja tu.
Mkuu wangu, mi nadhani ungetumia kauli za staha ungeeleweka zaidi...Kwa post yako hii mtu akikusoma na kuangalia jina lako anajua kabisa wewe ni Mhaya na unaendekeza ukabila....

Cha msingi ni kuangalia je, waombaji (akiwemo Katibu mkuu Mwesiga ambaye ana Bachelor ya International Relations) walikidhi sifa hizi hapa chini ambazo ndizo ziliainishwa katika tangazo la ajira?...

Key qualifications and experience
-At least seven years' working experience, with at least three years in managerial post;
-Hold a related second degree in Business Administration, Sports Administration and Management, Physical Education or equivalent qualifications
-Self-starter, proactive, independent, motivated, team work and with an outgoing personality;
-Excellent communication skills;
-Strong interest in sports, especially football;
-Strong Kiswahili and English communication skills (Oral, written and presentational). Knowledge of other International languages shall be an added advantage;
-Proficient in computer system and micro office suites
-A football background, i.e a former player, referee, coach or administrator but not necessarily at international level will be an added advantage.

Kwa mujibu wa Escobar Mwesigwa hana sifa hizo. Kulingana na tangazo la malinzi Mwesigwa ana bachelor ya international relation, nafasi ya katibu mkuu ilihitaji mtu awe na Masters Degree ya Uongozi, Michezo na Physical education. Sasa kama siyo ukabila kwa nini wamemchukua mtu ambaye hana sifa na kuwaacha watu wenye elimu inayohitajika na experience. Naweza kusema jamaa ameanza vibaya na hata fika mbali kwa uongozi huu wa kikabila
 
Mkuu mbona povu!!! Kwa hiyo Wahaya ni Wasomi mpaka akiwa na degree ni sawa na kabila lingine akiwa na masters ama???? Mkuu escober katoa mfano hai kabisa mojawapo ya vigezo vya nafasi ya Ukatibu mkuu ilikuwa ni masters degree cha ajabu aliyeteuliwa hana baadhi ya sifa ikiwamo ya Elimu lakini kapewa na wengine wenye sifa wameachwa.. kama sio kigezo cha Uhaya kimembeba ni nini??? Wahaya, Wanyakyusa na Wachaga ni wakabila saaaaana
 
Mkuu hawa jamaa wanamiss point hapa. wanashindwa kutueleza ni kwa nini mwesigwa ambaye hana sifa kulingana na tangazo la ajira achaguliwe yeye na kuwaacha watu ambao wana qualifications zinazotakiwa. hata huyu mkurugenzi wa masuala ya sheria amekuwa advocate hivi karibuni, amechukuliwa yeye wameachwa maadvocate wa muda mrefu.
Ukabila katika taasisi ya uma hauwezi ukawa na justification yeyote
 
hadi miaka hii bado tuna jadili kabila la mtu jamani!.. hio ni dhambi ya ubaguzi ,mtu kama anakidhi vigezo ndiyo asipewe kazi kisa kabila lake? Sote ni watanzania ndugu zangu ama uwe muhadzabe au muhaya alimradi uwe navyo vigezo tu ,vya msingi!

SIKU HIZ WATU WAMEKAA KUSIKIA WAP KATEULIWA MHAYA ILIWAANZE KUONESHA CHUKI ZAo za kikabila sabab kubwa mhaya
 
Eti Zitto anachukiwa kwa unini wake? Nikumbushe nimesahau.....aah; ulisema ni kwa u-non chaga wake.

Hahah Mamndenyi akili zake anazijua mwenyewe. kwake yeye ukabila uko cdm tu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona povu!!! Kwa hiyo Wahaya ni Wasomi mpaka akiwa na degree ni sawa na kabila lingine akiwa na masters ama???? Mkuu escober katoa mfano hai kabisa mojawapo ya vigezo vya nafasi ya Ukatibu mkuu ilikuwa ni masters degree cha ajabu aliyeteuliwa hana baadhi ya sifa ikiwamo ya Elimu lakini kapewa na wengine wenye sifa wameachwa.. kama sio kigezo cha Uhaya kimembeba ni nini??? Wahaya, Wanyakyusa na Wachaga ni wakabila saaaaana

Absolute nosense! Wahaya, wanyakyusa na wachaga eti wana ukabila. Umekuwa kasuku wewe. Juzijuzi tu aliyekuwa katibu mkuu kiongozi alijaza watu wa wilya yake kila sehemu. Sasa tuseme watu wa Iringa wana ukabila? Ni issue ya mtu binafsi si kabila lake. Mbona Tenga hakujaza wachaga pale TTF? Ashutukiwe Malinzi kama kuna ushahidi sio wahaya wote. Ama kweli common sense is not so common!
 
Ila Nasema kweli Jamaa kafanya makusudi kabisa kuchagua watu wa labila lake. Nakumbuka alivoingia tu alianza kunichefua. Kwa mwnzo huu anakosa uwezo wa kutusogeza mbele maana WATU wakianza kukuandama mapema Hivi ni laana sio baraka. Namshauti abadilike na ajue kuwa watz hatutki ubabaishaji wa hivo
 
Hahaha, chezeya WAHAYA wewe, kuna jamaa yangu ni mhaya mwanzo mwisho lakini ukimwita Mhaya mtagombana, anawachukia wahaya vibaya mno, wana chama chao alishagoma kabisa kujiunga anasema "mimi siyo mhaya", asichokipenda ni wahaya kupenda sifa, kutukuzwa na kubembelezwa...ukimfanyia hayo tu kisha ukamwambia unatoka kamachumu baasi na lugha inabadili ka inakuwa "..iweee"...hahahaa. Huyu ndiyo mhaya pekee niliyewahi kumwona hana element za ubaguzi.
 
Wewe ni -------- kuliko wote na inaonekana una chuki na wahaya. Ukweli ni kwamba wahaya wamesoma sana na wametapakaa kila mahali na kila sekta ata uende vyuoni, mabenki, mawizara, taasisi na hata ulaya na marekani utawakuta tu. na hakuna kazi utatangaza ukose mhaya aliyeomba. Tatizo lenu mnaendekeza ukabila kuliko sifa za mtu. Kama hawana sifa sema sio unabwabwaja tu.

na wachaga watasemaje?
 
Well done Jamal Malinzi...

Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya
na wewe Big Boss wetu ni Mhaya...

Asante sana. World cup here we go..2018.

Source: facebook page ya.Edo Kumwembe

wahaya ni majanga
 
Ila Nasema kweli Jamaa kafanya makusudi kabisa kuchagua watu wa labila lake. Nakumbuka alivoingia tu alianza kunichefua. Kwa mwnzo huu anakosa uwezo wa kutusogeza mbele maana WATU wakianza kukuandama mapema Hivi ni laana sio baraka. Namshauti abadilike na ajue kuwa watz hatutki ubabaishaji wa hivo

Unafiki huo alipoingia alikuchefua na nini au ulipata mimba.
 
Kwa kweli kama wote hao ni wanyjumbani basi kazi iko lakini pia pale TFF kuna staff wa kawaida nao ambao ni wahaya.... Inanikumbusha miaka ya '80 wakati wanaoomba kazi kwa kutumia majina ya kwetu yaani Yanayoaanza na Rwe.. Ruta yalikuwa yanapewa uzito mkubwa mpokeaji naye wa hukohuko ikawa anaangalia akione jina sio la Bkb ...... application inatiwa kapuni... ili wakati wa interview waje wote wa kule kule.... lakini kuna wakati watu wakaligundua hilo.... ikawa nao wanapopokea maombi ya kazi ya majina hayo ya Rwe.. Ruga .. Ruta ...nao wakawa wanayachana ... mambo yalipokuwa mabaya ikawa watu wanapoomba kazi hawaandiki majina yao yote matatu mfano Novatus Peter Ndyeshumba application yake anaaandika Novatus Peter.... hadi aitwe siku ya mahojiano ndo anaonyesha document zote...
 
Hahah Mamndenyi akili zake anazijua mwenyewe. kwake yeye ukabila uko cdm tu.

Umeamua unizukie ma bro. Iko hivi je waliopewa job wameshindwa au mmewapima na mzani gani. Chuki binafsi na kuchafuliana ndo iko hapa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom