Jamal Malinzi maswali yangu nilokuuliza umeshindwa kuyajibu??au umeyapuuzia???au ndo uhaya wenyewe huo unaosemwa hapa???
Bulesi bahati mbaya hunifahamu,si kwa hulka wala tabia.Nevertheless ahsante.
Pole sana mkoroshopori, huo ndiyo uhaya wenyewe! Na bado, tutakoma. Lkn nawaonea huruma wafanyakazi wa tff ambao siyo wahaya maana watabaguliwa na kunyanyaswa sana
chasuzy kamwe usimdharau mzee Dalali,ana historia kubwa na mpira wa nchi hii na moja ni kuiongoza klabu ya simba ikachukua ubingwa wa nchi hii bila kupoteza mechi,he has something to offer Tanzania football hata kama ni P7.
Maswali unayouliza hayana mashiko kabisa. Ni bahati mbaya sasa umekosa hata chembe ya hekima na busara katika kufanya shughuli hiyo ya umma. Ingekuwa ni kampuni yako binafsi hakuna ambaye angepiga kelele lakini kwa kuwa unakalia ofisi ya umma, just count on me, you wont take time. Hiyo dosali ita-spoil integrity yako muda si mrefu. Sijui kwa nini wahaya mmeshindwa kuepukana na tabia hii mbaya!!!Hadi sasa hao wateule unawaonaje? Kuna lililoharibika so far?
Hadi sasa hao wateule unawaonaje? Kuna lililoharibika so far?
Mkuu naomba umualike huyo so called KUMWEMBE kwenye huu mjadala.
hivi huu ujinga alio uandika ndio una huita uchambuzi?hivi katika hili amechambua nini?
Kusema wote wahaya ndio uchambuzi?
Sikujua huyo Mwembe kama ni mjinga kiasi hiki.
Malafyale you think so? Tuombe uhai.
Tatizo siyo ukabila je hao watu wanasifa na vigezo vya kuwa katika hiyo nafasi
niqqas hoe nakuomba uwe na subira, i know exactly what i am doing, sijaingia TFF bila mpango kazi.
Bora Kenya wenzetu hawana mambo ya ukabilaMimi sina imani na malinzi.Ukabila ni mbaya sana kama ilivyo udini PPF
Siamini kama ni wewe mheshimiwa Malinzi ndie ulieandika maneno haya!Belo don't even bother to waste your breath,ajira ya katibu wa TFF si ajenda kwangu,its done and sealed,ukitaka tuzungumze let us talk about football devwlopment,youth programmes,women football,Afcon qualifiers strategy,reclaiming of open spaces for sports use....hapo nitakuelewa,lakini kuongelea makabila,dini,jinsia,ukanda wa wajiriwa TFF forget it kwangu hayo hayanikoseshi usingizi kamwe,its well beneath me.
Siamini kama ni wewe mheshimiwa Malinzi ndie ulieandika maneno haya!