Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

TFF for now is quishney,ni kichaka au inataka kufanana na taasisi binafsi,tutegemee madudu zaidi,*wadau hatufahamu agenda wala mikakati au jitihada maalumu za kuinua soka letu till now !!

niqqas hoe nakuomba uwe na subira, i know exactly what i am doing, sijaingia TFF bila mpango kazi.
 
Last edited by a moderator:
Mawenzi unanijua sikujui,nitakushukuru sana ukianika ushahidi hapa nakala ukampelekea IGP Ernest ukiainisha matukio yangu ya wizi,kumbuka wizi ni kosa la jinai kama raia mwema ni wajibu wako kuripoti matukio.

Kwa nini umefanya uhaya ktk uteuzi wa viongozi wa tff? Toa maelezo watz waelewe
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nakubaliana na wewe kuwa haya makabila makubwa matatu, wahaya,wachaga na wanyakyusa wakiwa mabosi wafanyakazi wengi ofisini wanakuwa wa kabila moja. Naweza kusema jamal malinzi ameanza vibaya sana uongozi wake. Ukionekana unafanya uteuzi kikabila mafanikio yanakuwa madogo.
Nafasi ya katibu mkuu wamechukuwa mtu ambaye ana sifa ndogo kuliko waombaji wengine. Mwesiga ana degree moja tena ya international relation wameamuacha mtu kama henry tandau ambaye ana masters ya michezo na uzoefu kibao.
Binafsi sitaki kuamini kwamba watanzania wengine hawana sifa za kuwa viongozi tff. Time will tell

Henry Tandau hakuleta maombi ya ukatibu mkuu TFF.
 
Aliofficeyekuambia kwamba watanzania wengine hawana sifa ni nani. Ukataka kutuaminisha kwamba wahay tu ndio wana sifa za kuwa viongozi na sio watanzania wengine. Chukulia nafasi ya katibu mkuu, mwesiga ana degree ya moja tena ya international relation anaachwa mtu kama tandau ambaye ana masters ya michezo na sifa kibao za uongozi wa michezo.
Watu wakabila kama malinzi hawatakiwi kuhold public office

escober Ndugu Tandau hakuomba nafasi yoyote ya uongozi TFF.
 
Last edited by a moderator:
Mimi sina tatizo la kabila kama wanaweza kutupeleka world cup na mpira ukawa mzuri. Kuna kabila moja kule Arusha ndio linatoa wakimbiaji wa mbio ndefu kila mara. Sijasikia malalamiko kwamba hawa ndio wanakimbia peke yao! You know why? Stopwatch ndio inaamua.

Sent from my GT-P7500
 
Enzi za Tenga usaili ulikuwa unafanywa na kampuni professional toka nje. Huyu mhaya kafanyia chumbani kwake!

Mawenzi you think so? I agonized and fretted over these appointments.Usisahau kuwa Celestin alikuwa GS wa Yanga na Evodius alikuwa GS wa Simba,hivi vilabu havikuwapa kazi kwa uhaya wao, that is certain,kwa watu wengi it might sound trivial au insignificant but kwa mpira wetu it carries a lot of weight.All factors remaining the same utaelewa.Uwezo wa utendaji? Tuwape muda, binafsi ninaamini wataweza.
 
Last edited by a moderator:
mawenzi you think so? I agonized and fretted over these appointments.usisahau kuwa celestin alikuwa gs wa yanga na evodius alikuwa gs wa simba,hivi vilabu havikuwapa kazi kwa uhaya wao, that is certain,kwa watu wengi it might sound trivial au insignificant but kwa mpira wetu it carries a lot of weight.all factors remaining the same utaelewa.uwezo wa utendaji? Tuwape muda, binafsi ninaamini wataweza.

wa nyumbani kwetu kabisa hawa!
 
Mimi pia niliwaonya kuwa Huyo Malinzi alikuwa anataka hicho cheo kibiashara zaidi na hiyo timu aliyoipanga ni kufanikisha malengo yake ya wizi; it will not take long before I am vindicated!!!

Bulesi bahati mbaya hunifahamu,si kwa hulka wala tabia.Nevertheless ahsante.
 
Last edited by a moderator:
inawezekana jamaa si mkabila kabisa, alikuwa anaangalia vigezo wakapita wote hao. angekuwa mkabila angeshanotice hilo na angechanganya, wazo la ukabila halikuwepo kichwani mwake ndio maana unaona hakuwa na caution yeyote ya ukabila. kama angekuwa na akili ya kikabila angejistukia, hana akili hiyo ndio maana unaweza kuona sasahivi ndio anastuka kuwa kumbe sote tumekuwa wahaya, si ajabu hata hajui kama wote hao ni wahaya.

IDUNDA you are very intelligent,thanks,we kichwa.
 
Last edited by a moderator:
naona mhaya upo bize unamtetea mhaya mwenzako. Nashindwa kuelewa kwa nini nyie wahaya mnakuwa wakabila kiasi hiki.
Jamaa kuwa raisi mwezi mmoja tu amewajaza wahaya wenzake hapo tu. Inamaana hamna watanzania wengine wenye sifa za kuwa viongozi tff. Prove me wrong

escober una uhakika takwimu zako ziko sahihi? TFF ina kamati 17 zenye wajumbe zaidi ya 150,hapo ongeza na ad hoc xommitees,kama una interest na makabila ya wajumbe chunguza,mimi siyajui by categories kwa sababu i am not interested kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Haka kajamaa Malinzi ni kapu uzi tu!

Diversification ni muhimu sana kwenye mambo ya uteuzi!Hata kama Katiba inakuruhusu inabidi atumie common sense tu!Je tungejisikiaje kama JK angeteau Baraza lake lote la Mawaziri toka Pwani?

Miaka yake minne itapita hivi hivi bila lolote la maana haka kavulana!

Malafyale you think so? Tuombe uhai.
 
Last edited by a moderator:
Kama Edo kaandika haya basi atakuwa amejiunga na akina Pasco wa JF, na akina ARAP SANG wengine kueneza uchochezi wa kidini, kikabila, kikanda na kadhalika. nasema haya kwa sababu kupeana majukumu ili kuendesha taasisi, shirika na mengine kama haya ya umma, hakutakiwe hata kidogo kufuata misingi ya kikabila, kidini,rangi, n.k. Kinachotakiwa kufuatwa ni uwezo binafsi wa mteuliwa kumudu kutimiza majukumu yake aliyopangiwa katika nafasi aliyoteuliwa.

Edo atwambie hawa walioteuliwa hawafai kushika nyazifa hizo kwa kuangalia uwezo wao binafsi wa kufanya kazi? Kama hawawezi basi waondolewe mara moja....nasema waondolewe mara moja ila si kwa uhaya wao bali kwa viwango vyao vya utendaji kazi.

....Tupinge kwa nguvu zote wale wote (akiwemo na EDO) wanaoleta mada, propaganda za kikabila, kidini, nk. hapa nchini na ulimwenguni kwa ujumla.

Well said
 
Soka letu ndio ninaelekea kuzimu,Malinzi zaidi ya kulipa visasi ni kuwapa ulaji marafiki,sitashangaa wakati wakiongea na wakuu wa kamati lugha ikawa kihaya/english kwani jamaa ni wasomi,pia yupo na DALALI darasa la saba

chasuzy kamwe usimdharau mzee Dalali,ana historia kubwa na mpira wa nchi hii na moja ni kuiongoza klabu ya simba ikachukua ubingwa wa nchi hii bila kupoteza mechi,he has something to offer Tanzania football hata kama ni P7.
 
Last edited by a moderator:
Mmh inawezekana hawa jamaa ni hulka maana hata ktk chuoni kwetu (wanakiita cha kata lakini sio kweli) hawa jamaa wako full!
 
Jamal Malinzi,
afadhali umekuja ingawa umechelewa kuja kujibu hizi hoja za wadau wa soka hapa JF,baada ya kushinda uliahidi utakuja kuomba ushauri
Vigezo vya Katibu mkuu wa TFF anapaswa kuwa na masters degree hata waliopita (Mwakalebela na Osiah) walikuwa na masters degree,imekuwaje mmempa kazi Celestine Mwesigwa ambaye hana hicho kigezo?
 
Huu ukabila unauzungumziaje?

Ukabila upi unauongelea?
Binafsi sipendi kuongelea watu napenda tuongelee issues, issue mbele yetu ni nini tufanyw kulikomboa soka letu na kulipeleka mbele,tusizungumzie watu tuzungumzie mikakati,ukitaka kuni challenge kwwnye haya tutazungumza but not otherwise.
 
Back
Top Bottom