Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Tanzania hakuna ukabila waliopata hzo nafac wanastahil msitake kumdhoofisha ktk utendaj wake kwa sababu ambazo hazna msing
watu wanalalamika kuwa huyo jamaa yako mwesigwa hana masters inayotakiwa kwa nafasi ya katibu mkuu wewe unapiga blabla hapa
 
Tatizo wahaya hawana aibu....wanaujasiri wa ajabu sana! nenda Kairuki hosipitali utashangaa kumejaa wahaya mnoo! Malinzi kachemka...nadhan walipokata jina lake first time hawakukosea....!
 
Tra je mbona hamsemi mwatamilwa

Wao mifano yao ni Nssf na Bima huwezi kuwasikia wanataja Tra,Tbl na Ipp
Naona hili swali la Mwesiga kutokua na Masters wanajifanya hawalioni
 
Sunday Kayuni, Silas Mwakibinga na Fredrick Mwakalebela baadaye akarithiwa na Angetile Osiah walitoka kanda moja na hakukuwa na maneno, iweje Evodius Mtawala na Mwesigwa J Selestine walete maneno ya kikabila? Isitoshe mjumbe pekee wa kamati ya utendaji TFF ambaye ni Muhaya ni Rais pekee.... Kweli maisha bila unafiki hayaendi

Mbona unafananisha apple na chungwa?watu wanaongelea kabila wewe, unaleta habari ya kanda
Wangekua wametokea Mara,Simiyu au Mwanza ndo ungeleta hiyo comparison yako
 
Mi namuuliza Belo wa JF nukuu yake isemayo " kitu ambacho mwana siasa husema ukweli ni jina lake tu"

Je, Mwigulu Lameck Madilu Nchemba pamoja na Hamisi Said Kigwangala walisema ukweli kwenye majina yao?
au wao siyo wanasiasa?
 
Sunday Kayuni, Silas Mwakibinga na Fredrick Mwakalebela baadaye akarithiwa na Angetile Osiah walitoka kanda moja na hakukuwa na maneno, iweje Evodius Mtawala na Mwesigwa J Selestine walete maneno ya kikabila? Isitoshe mjumbe pekee wa kamati ya utendaji TFF ambaye ni Muhaya ni Rais pekee.... Kweli maisha bila unafiki hayaendi

Kama Tenga angetoka huko hapo kungekuwa na maswali. Tenga akikuwa na upeo wa kuepuka wachaga kwa makusudi kabisa. Wenye sifa walikuwepo wengi tu. Hilo ndio Malinzi kashindwa kuliona hasa kwenye nafasi za wenyeviti wa kamati ambazo rais wa tff ana sauti kubla maana haziombwi
 
INawezekana wana sifa.....Sema haiingii akilini....

Inakuwaje wenye sifa wanakuwa ni watu anaotoka nao sehemu moja tu?.....Mwesiga, Mtawala na kwa nini nafasi nyingine hajazijaza na kudai waombaji hawakukidhi vigezo?...Kwa nini anawaweka watu aina ya Mshangama na Madadi ambao pamoja na kukaa TFF miaka lolote hakuna lolote walilosaidia...Kwa nini asingeweka sura mpya kama lengo lilikuwa ni kuleta mabadiliko TFF....

Mwenzake Tenga nafasi kama hizi aliwaachia KPMG ama PWC(sina uhakika ni nani hasa) ambao walitangaza nafasi za kazi na kupitia majina ya waombaji ikiwa ni pamoja na kuwafanyia usaili...Na hapa ndipo walipatikana akina David Mwakalebela, Angetile Osiah, Florian Kaijage, Boniface Mgoyo Wambura na Jimmy Kabwe...Sasa yeye Malinzi kitendo cha yeye na TFF yake kutangaza ajira na kuwafanyia usaili na kutangaza waajiriwa wapya kinatia shaka na kulifanya suala la ukabila liwe na nguvu zaidi...Na wengine wanaweza wakasema hata hizo nafasi mbili hazijajazwa kutokana na 'wahaya' wenzake kutojitokeza kuomba kazi hizo....

You are a great thinker!!!
 
hapo hakuna hoja kwan nafac zilitolewa kwa kuzingatia vigezo mbalimbali na wakaomba kama walivyoomba wengine hvo kwenye vigezo hvo hapakuwa na kigezo cha kwamba kwa sababu malinzi raisi wa tff ni mhayawahaya awapaswi kuomba, mambo hayoyalishapitwa na wakati tumhukumu mtu kwa utendaji wake na si kwa ukabola, itikadi na wala dini yake, kajipange urudi upya
 
Sunday Kayuni, Silas Mwakibinga na Fredrick Mwakalebela baadaye akarithiwa na Angetile Osiah walitoka kanda moja na hakukuwa na maneno, iweje Evodius Mtawala na Mwesigwa J Selestine walete maneno ya kikabila? Isitoshe mjumbe pekee wa kamati ya utendaji TFF ambaye ni Muhaya ni Rais pekee.... Kweli maisha bila unafiki hayaendi

Frederick Mwakalebela na Angetile Osiah wote walikuwa na Masters but huyo Mwesigwa hana Masters,hiyo nafasi hakuistahili kupewa yeye
 
Well done Jamal Malinzi...

Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya
na wewe Big Boss wetu ni Mhaya...

Asante sana. World cup here we go..2018.

Source: facebook page ya.Edo Kumwembe

wabongo bana
 
Kwa tabia aloonyesha huyu Malinzi, nachelea asije akatuingiza kwenye mambo ya Kenya!
 
Kama hali ndo hii hakuna jipya katika mchezo wa mpira wa miguu hapa nchini. Hawa jamaa mimi sijui huwa tabia yao ikoje yan ni ya ajab sana japo sio wote lakin walio weng wana tabia za ajab sana na kuishi nao kunahitaj moyo wa ziada sana. Sasa kupewa urais ndo ameshahamishia wenzie hapo TFF . Mambo yatamshinda muda si mrefu. Tupo na yetu macho
 
hapo hakuna hoja kwan nafac zilitolewa kwa kuzingatia vigezo mbalimbali na wakaomba kama walivyoomba wengine hvo kwenye vigezo hvo hapakuwa na kigezo cha kwamba kwa sababu malinzi raisi wa tff ni mhayawahaya awapaswi kuomba, mambo hayoyalishapitwa na wakati tumhukumu mtu kwa utendaji wake na si kwa ukabola, itikadi na wala dini yake, kajipange urudi upya

Mbona katibu mkuu Mwesiga hajatimiza vigezo
 
....

Source: facebook page ya.Edo Kumwembe

Kama Edo kaandika haya basi atakuwa amejiunga na akina Pasco wa JF, na akina ARAP SANG wengine kueneza uchochezi wa kidini, kikabila, kikanda na kadhalika. nasema haya kwa sababu kupeana majukumu ili kuendesha taasisi, shirika na mengine kama haya ya umma, hakutakiwe hata kidogo kufuata misingi ya kikabila, kidini,rangi, n.k. Kinachotakiwa kufuatwa ni uwezo binafsi wa mteuliwa kumudu kutimiza majukumu yake aliyopangiwa katika nafasi aliyoteuliwa.

Edo atwambie hawa walioteuliwa hawafai kushika nyazifa hizo kwa kuangalia uwezo wao binafsi wa kufanya kazi? Kama hawawezi basi waondolewe mara moja....nasema waondolewe mara moja ila si kwa uhaya wao bali kwa viwango vyao vya utendaji kazi.

....Tupinge kwa nguvu zote wale wote (akiwemo na EDO) wanaoleta mada, propaganda za kikabila, kidini, nk. hapa nchini na ulimwenguni kwa ujumla.
 
Niliwahi kusema kuwa kama hawa waliopewa nafasi kuongoza kurugenzi mbalimbali za TFF kama wamepewa kwa kuwa ni wahaya basi Jamal Malinzi amekosea sana. Lakini kama wana sifa stahiki Basi tuache uchochezi wa kikabila na udini ambao nchi yet ilishasahau
 
Mimi niliwahi kusema malinzi ni mhuni na mwizi wa fedha watu wakanibishia, mtaipata fresh sasa

Mawenzi unanijua sikujui,nitakushukuru sana ukianika ushahidi hapa nakala ukampelekea IGP Ernest ukiainisha matukio yangu ya wizi,kumbuka wizi ni kosa la jinai kama raia mwema ni wajibu wako kuripoti matukio.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom