Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Tanzania hakuna ukabila waliopata hzo nafac wanastahil msitake kumdhoofisha ktk utendaj wake kwa sababu ambazo hazna msing
 
Well done Jamal Malinzi...

Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya
na wewe Big Boss wetu ni Mhaya...

Asante sana. World cup here we go..2018.

Source: facebook page ya.Edo Kumwembe

Sunday Kayuni, Silas Mwakibinga na Fredrick Mwakalebela baadaye akarithiwa na Angetile Osiah walitoka kanda moja na hakukuwa na maneno, iweje Evodius Mtawala na Mwesigwa J Selestine walete maneno ya kikabila? Isitoshe mjumbe pekee wa kamati ya utendaji TFF ambaye ni Muhaya ni Rais pekee.... Kweli maisha bila unafiki hayaendi
 
Tanzania hakuna ukabila waliopata hzo nafac wanastahil msitake kumdhoofisha ktk utendaj wake kwa sababu ambazo hazna msing

Hivi hamuelewi au makusudi??? Katibu mkuu hana sifa zilizoainishwa kwenye nafasi hiyo tena mbaya zaidi wako wenye sifa stahiki wamepigwa chini!!! kama sio UHAYA ni nini kimemmbeba Mwesiga
 
Kama ni kweli hili sio la kunyamaziwa,haiwezekani shirikisho kujaa watu wa kabila moja halafu tujidai eti kuhoji sio busara!!!!

Mkuu sasa hipo siku tutaanza ambiana kwenye C.V tuwe tunaweka kipengele cha kabila.
Inamaana kama post ni 5 nafasi ni moja kwa kila kabila na sijui unazigawa kikanda na kidini tena..
Maana ukichagua Mkulya,Mkerewe, Mjita na Msukuma utaambiwa umependelea kanda ya ziwa na kitakachofuata ni kuangalia hao ni dini gani...
Hivi mbona wabongo tunapenda ushabiki mandazi sana siku hizi
 
mkuu kama hutojali jibu maswali yangu, mimi si mtetei kama jambo alikufuata utaratibu.

Nauliza swali lingine. Jamali malinzi anafanyia watu usaili?
Mhaya,Mchaga,Mnyakyusa hata nyerere aliweka angalizo ktk haya makabila!
 
well done jamal malinzi...

Katibu mpya wa tff ni mhaya,
mkurugenzi wa sheria na utawala ni mhaya,
mshauri wa masuala ya kiufundi ni mhaya,
mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni mhaya,
mwenyekiti mpya wa kamati ya uchaguzi ni mhaya
na wewe big boss wetu ni mhaya...

Asante sana. World cup here we go..2018.

Source: Facebook page ya.edo kumwembe


kasome acha umbumbu wewe,utakuwa unatokea moshi wewe kwa mbowe
 
kasome acha umbumbu wewe,utakuwa unatokea moshi wewe kwa mbowe

Dogo acha wenge am not of your type Mbowe kaingiaje. Nilichofanya mimi ni kupost kwa wanajukwaa juu ya uchambuzi huu wa Edo Kumwembe.

Sasa dhihaka unayonipa ipo kwa msingi gani hasa!?
 
je mwesiga anauzoefu gani!? na mbona hana masters kama ilivyoainishwa kwenye qualifications!?
Kuna waziri (aliyekuwa) mmoja alipigana kwa kutumia gharama kubwa sana na ushawishi wa cheo chake kuhakikisha anapata PhD. Nia haikuwa kupata elimu balii cheti cha PhD maana alishakuwa na nia ya kugombea urais ambao wengi wao wanajiita madokta siku hizi.
Ushauri wangu ni kuwa tuwe makini katika vitu hivi ...vyeti vs elimu.
Kuna vitu Malinzi aliahidi kuwa angelivileta TFF japo sina uhakika alisema itatumia muda gani (time frame). Tungelimuacha tukaona matokeo kwanza badala ya kuanza majungu yanayotokana na kukikosa alichokipata yeye. Katika majina ya hao 'wahaya' ukiondoa katibu mkuu wengi wao walikuwepo tangu enzi za uongozi uliopita.

 
Mhaya,Mchaga,Mnyakyusa hata nyerere aliweka angalizo ktk haya makabila!
angelisema wasiruhusiwe kuwa hata madokta, wahandisi nk ningelikubaliana naye. Hizi nadharia tusipoziangalia kwa umakini vitaru vyote vya gesi na madini vitaenda kwa wageni na hutawapata japo akina 'Mengi' wa kuwatetea akina bongolala.
 
sema kwa sababu malinzi ndio tunaiongea mbona hata rais aliyepita watu wake wengi walitokea huko huko au tulikuwa hatujui
 
sema kwa sababu malinzi ndio tunaiongea mbona hata rais aliyepita watu wake wengi walitokea huko huko au tulikuwa hatujui
 
Mmnnh mkuu kama kuna kitu hapa kwenye hoja yako!!Umenikumbusha mbali! Kuna bwana alikuwa anaitwa David Ngonya! Huyu Bw.Ngonya alishawahi kuiongoza Simba!Yeye anatokea moja ya makabila hayo apo uliyoyataja!Sasa enzi zake alipokuwa analiongoza shirika la Bima la Taifa,ilikuwa ukienda Bima kuanzia mlinzi,mesenja,karani,katibu mukhtasi,wafagizi,wakuu wa vitengo wote wote woooote....walikuwa wanatoka kwao huyo Bwana!Aaah jama yaani wasomi wako huko tu?wengine wote mbumbumbu!!!?
Mhaya,Mchaga,Mnyakyusa hata nyerere aliweka angalizo ktk haya makabila!
 
Dogo acha wenge am not of your type Mbowe kaingiaje. Nilichofanya mimi ni kupost kwa wanajukwaa juu ya uchambuzihuu wa Edo Kumwembe.

Sasa dhihaka unayonipa ipo kwa msingi gani hasa!?

Mkuu naomba umualike huyo so called KUMWEMBE kwenye huu mjadala.

hivi huu ujinga alio uandika ndio una huita uchambuzi?hivi katika hili amechambua nini?
Kusema wote wahaya ndio uchambuzi?
Sikujua huyo Mwembe kama ni mjinga kiasi hiki.
 
Tanzania hakuna ukabila waliopata hzo nafac wanastahil msitake kumdhoofisha ktk utendaj wake kwa sababu ambazo hazna msing

kwa taarifa yako mwesigwa hana sifa zinazotakiwa. nafasi ya katibu ilitakiwa mtu awe na masters either ya uongozi, au michezo. mwesigwa ana degree moja tena ya international relation sasa kama siyo uhaya kwa nini amechukuliwa mtu ambaye hana sifa na wameachwa watu wenye masters zao. hawa jamaa wakimtoa raisi nafasi zote zitakuwa za wahaya
 
Back
Top Bottom