Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Tanzania hakuna ukabila waliopata hzo nafac wanastahil msitake kumdhoofisha ktk utendaj wake kwa sababu ambazo hazna msing
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh...!-Hayangu taramo nyi ruwa mnu
Well done Jamal Malinzi...
Katibu mpya wa TFF ni Mhaya,
Mkurugenzi wa sheria na utawala ni Mhaya,
Mshauri wa masuala ya kiufundi ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni Mhaya,
Mwenyekiti mpya wa kamati ya Uchaguzi ni Mhaya
na wewe Big Boss wetu ni Mhaya...
Asante sana. World cup here we go..2018.
Source: facebook page ya.Edo Kumwembe
Tanzania hakuna ukabila waliopata hzo nafac wanastahil msitake kumdhoofisha ktk utendaj wake kwa sababu ambazo hazna msing
Kama ni kweli hili sio la kunyamaziwa,haiwezekani shirikisho kujaa watu wa kabila moja halafu tujidai eti kuhoji sio busara!!!!
Mhaya,Mchaga,Mnyakyusa hata nyerere aliweka angalizo ktk haya makabila!mkuu kama hutojali jibu maswali yangu, mimi si mtetei kama jambo alikufuata utaratibu.
Nauliza swali lingine. Jamali malinzi anafanyia watu usaili?
Mimi sina imani na malinzi.Ukabila ni mbaya sana kama ilivyo udini PPF
well done jamal malinzi...
Katibu mpya wa tff ni mhaya,
mkurugenzi wa sheria na utawala ni mhaya,
mshauri wa masuala ya kiufundi ni mhaya,
mwenyekiti mpya wa kamati ya maadili ni mhaya,
mwenyekiti mpya wa kamati ya uchaguzi ni mhaya
na wewe big boss wetu ni mhaya...
Asante sana. World cup here we go..2018.
Source: Facebook page ya.edo kumwembe
kasome acha umbumbu wewe,utakuwa unatokea moshi wewe kwa mbowe
Kuna waziri (aliyekuwa) mmoja alipigana kwa kutumia gharama kubwa sana na ushawishi wa cheo chake kuhakikisha anapata PhD. Nia haikuwa kupata elimu balii cheti cha PhD maana alishakuwa na nia ya kugombea urais ambao wengi wao wanajiita madokta siku hizi.je mwesiga anauzoefu gani!? na mbona hana masters kama ilivyoainishwa kwenye qualifications!?
angelisema wasiruhusiwe kuwa hata madokta, wahandisi nk ningelikubaliana naye. Hizi nadharia tusipoziangalia kwa umakini vitaru vyote vya gesi na madini vitaenda kwa wageni na hutawapata japo akina 'Mengi' wa kuwatetea akina bongolala.Mhaya,Mchaga,Mnyakyusa hata nyerere aliweka angalizo ktk haya makabila!
kasome acha umbumbu wewe,utakuwa unatokea moshi wewe kwa mbowe
Mhaya,Mchaga,Mnyakyusa hata nyerere aliweka angalizo ktk haya makabila!
Dogo acha wenge am not of your type Mbowe kaingiaje. Nilichofanya mimi ni kupost kwa wanajukwaa juu ya uchambuzihuu wa Edo Kumwembe.
Sasa dhihaka unayonipa ipo kwa msingi gani hasa!?
Tanzania hakuna ukabila waliopata hzo nafac wanastahil msitake kumdhoofisha ktk utendaj wake kwa sababu ambazo hazna msing