Hadi sasa hao wateule unawaonaje? Kuna lililoharibika so far?
Nipe muda
Wewe tatzo lako ni wahaya au unataka kuona soka la Tz likiwa juu. sasa km hao wahaya wanaweza kulipaisha soka le2 siwaache tu! We na Eddo nyote ni mapu.........!
Hongera kwakuwa unawajua vizur hawa bwana, nmewah kufanya kazi kwao nliishi kama mbwa hakuna wazo limewahi pokelewa pale nlipokuwepo zaidi niliambulia chuki na ubaguzi usio na maanaPoleni sana ambao hamkulijua hili Tenga alilitambua mapema mkamdharau.Huu ni utaratibu wa kawaida tu ukiweka Boss wa kihaya popote pale tegemea wanaofuatia chini wote watakuwa wahaya hata kama hawana sifa zinazostahili. Wajukuu zangu hawa huwa wana kawaida ya kujenga himaya. na ndio kisa cha makampuni ,mawizara na mataasisi mengi kuporomoka kwani hakuna wa kumwajibisha mwenzake
Usingekuwa Rweye ungetoa jibu tofauti... Lakini kama wewe ni Rweye lazima ujibu kama ndugu yako anavotoa povu hapa kama yupo kijiwe cha kahawaUnashangaa ukabira TFF? VipTRA,TBC n.k??
I see!Na kwa kawaida hawa jamaa ni wakabila mno