Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
- Thread starter
- #421
Hadi sasa hao wateule unawaonaje? Kuna lililoharibika so far?
Suala sio kuharibika.. ni mteule mwesiga kukosa vigezo.. ishu ni kwanini hamkufuata qualifications mlizoainisha ktk kuchagua katibu mkuu.
Si kheri msingeweka hivyo vigezo!