Wewe kama si mkabila ulijuwa je acha huwo ujinga kikubwa kazi nyie ndio wale wale hata kwenye siasa ukabila nyambafu tunaongea ukabila karne hii kimya shiiiiiiih
Kama watafanya kazi vizuri hakuna shida. Tunalotaka ni ufanisi, kwani umeambiwa ukienda TFF uende na mkalimani kwa ajili ya kihaya!
Jamal Malinzi Mkubw ahata kama ni sikukuu tunaomba ufafanuzi maana JF huwa hatuna sikukuu.
kwani hawana sifa??..
Tangu ameshinda hataki kuja huku,aliahidi atakuja kuomba mapendekezo/ushauri kuhusu kuinua soka hadi leo kimya