Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

Kama watafanya kazi vizuri hakuna shida. Tunalotaka ni ufanisi, kwani umeambiwa ukienda TFF uende na mkalimani kwa ajili ya kihaya!
 
Eeeeeh ndio tulioenda ishomire bwaaana ...na mupira tunaujua.......!
 
Sisi tunataka Wachapakazi, nini Wahaya! Hata akiwapata wasio na kabila kabisa, so long si Waizi kama akina Rege na Ndolange awaweke tu.
 
Wewe kama si mkabila ulijuwa je acha huwo ujinga kikubwa kazi nyie ndio wale wale hata kwenye siasa ukabila nyambafu tunaongea ukabila karne hii kimya shiiiiiiih

Angalia usije weye ukawa ndo mjinga, nafikiri wewe una elements za unshomile ndo maana unatetea, kama nikweli hiyo safu iko hivyo, haitakiwi hata kuingia kazini!
 
Wahaya ni wakabila sanaaaa.ndo mana haitakaa itokee tupate rais mhaya coz ikuly itajaa nshomile wazari nshomile wabunge nshomile mwisho wahamishie ikulu kwao kaishozi
 
kama ni kweli it's like too much Hayas, lakini tuwe na subira, tuangalie UTENDAJI. Inawezekana wahaya ndio wataikomboa soka yetu, sio mbaya. Tuwape ushirikiano 100%
 
Kufatilia alopewa nafasi ni wa kabila au dini gani ni UKABILA/UDINI. Hoja ni kufatilia kama nafasi hiyo kaipata kwa haki, yaani kashindanishwa na waloomba wote kwa haki na kaibuka kidedea. Usishindwe kinyanganyiro ukataka uonewe huruma kwa kigezo cha ukabila.
 
Hili ndo soka la bongo tena kupata bosi mhaya hata 1st 11 ya taifa stars itajaa kina Kamgisha Tu.
 
Kama watafanya kazi vizuri hakuna shida. Tunalotaka ni ufanisi, kwani umeambiwa ukienda TFF uende na mkalimani kwa ajili ya kihaya!

even if Mkuu, lakini sio fair kabisa, alitakiwa kumix tu ili kuondoa dhana za upendeleo
 
Uzuri na yeye ni member wa JF atajibu tu hizi tuhuma.
 
Mleta Sred ni mkabila tu. Mbona kabila letu hata serikalini hawapo ila hatulalamiki. Karibu Njinjo
 
Wewe tatzo lako ni wahaya au unataka kuona soka la Tz likiwa juu. sasa km hao wahaya wanaweza kulipaisha soka le2 siwaache tu! We na Eddo nyote ni mapu.........!
 
ndiyo tatizo la watu humu jf ukiliamini likipata tu linaanza upumvavu wake, hata nape alipopata akaota mapembw #&$$&#@% zenu....
 
Back
Top Bottom