To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
😂😂😂Mimi ni Mkatoliki, ila nina marafiki wengi Waislam, kuliko hata Wakristo. Na kiufupi huwa wanafundisha vitu vingi sana kuhusu Uislam.
Sema kuna wachache wa humu jamii forums, huwa wana itikadi za Ki boko haram.