Ukabila una nguvu kuliko udini

Mimi ni Mkatoliki, ila nina marafiki wengi Waislam, kuliko hata Wakristo. Na kiufupi huwa wananifundisha vitu vingi sana kuhusu Uislam.

Sema kuna wachache wa humu jamii forums, huwa wana itikadi za Ki boko haram.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…