Kwahio shida ipo kwenye KUKAGUA tusikague au kwenye Kufuatilia ? Wafuatiliaji hawafuatilii ?
Kama hayashughulikiwi inashua thamani ya ofisi na morali ya kazi.Kwahio suluhisho ni kuacha kukagua na sio kwamba uyashughulikie yanayokaguliwa ?
Kwani mkuu wewe na mumeo hamuwezi kuwa wapinzani?Ingekuwa Kenya raila angeitisha maandamano ya kutaka mamlaka za uwajibishaji hapa kwetu uteuzi zichukue hatua dhidi ya wezi wa kodi za wananchi.
Bahati mbaya kwa sasa hatuna mpinzani wa kuweza kufanya ya Raila. Hivi ni nini mbadala wa upinzani hapa kwetu kinachoweza kuchukua nafasi ya upinzani kushinikiza serikali kuçhuku hatua?
Kwakweli. !! Yaani anabweka tu haumi ! Duh 🙄!Demokrasia inahusu wengi kupewa. Hata hivyo ni busara zaidi walio sahihi kupewa:
Kaguzi za CAG zinazofanyika miaka nenda rudi bila hatua zozote za maana kuchukuliwa ni za nini?
Ya nini kupoteza pesa kwenye kuibiwa na kwenye kaguzi zisizozingatiwa?
Kwa mwendo huu wanaoona ofisi ya CAG ifutwe, wana hoja.
Wasikilizwe!
Bunge wanasema wanaisubiri ripoti ili waijadili !! Tusubiri tuone !! Tunalikumbuka Bunge la Mzee wa spidi na viwango !! R.i.p !Hizi ripoti huwa zinaenda bungeni na waliotajwa huitwa na kuhojiwa kwa kutoa maelezo ya ziada baada ya hapo bunge linakuja na maazimio. Sasa enzi zile PAC Iko chini ya Zitto mawaziri kibao walikua wanang'olewa na hakukuwa na maandamano.
Enzi hizo ripoti ya PAC ikisomwa wote tunakaa kwenye redio au Tv zetu maana tunajua Kuna vichwa vitaliwa. Ila tokea bunge la Ndugai tumeona PAC Haina makali, upinzani nao wakamweka Kaboyoka ambaye sio radical, so tokea hapo ikawa wezi wanasalimika tu Hadi leo.
So nadhani issue ni kubana wabunge tuliowachagua kama watakua mabubu basi imekula kwetu maana tuliwaingiza kwa kishindo!!
Kama ipi iliyofanyiwa kazi kwa siri?Ripot zake hufanyiwa kazi Kwa siri, baadhi ya mapendekezo
Kwani mkuu wewe na mumeo hamuwezi kuwa wapinzani?
Kama sijakuelewa mkuuKwani mkuu huko Kenya watu na wake zao hamna hadi kila siku iwe ni Odinga tu kukiwasha? Mwongozo wako tafadhali.
Ripoti inayotolewa hadharani na kutekelezwa kwa siri ina faida gani?Tutajuaje kama inatekelezwa kweli? Je niikukuuliza kuwa unajua siri gani ya ripoti iliyowahi kufanyiwa kazi?Ripot zake hufanyiwa kazi Kwa siri, baadhi ya mapendekezo
Mkuu nililenga kuonyesha umuhimu was viongozi kwenye harakati. Harakati haziwezi kuongozwa na kila Tom, Dick au Harry.Kama sijakuelewa mkuu
KweliMkuu nililenga kuonyesha umuhimu was viongozi kwenye harakati. Harakati haziwezi kuongozwa na kila Tom, Dick au Harry.
Chadema mnayumbayumba Sana!
Akikuelewa utupe mrejeshoAcha ujinga wako, sio kila anayekosoa Serikali ni chadema. Humu wamo wazalendo wa Kweli wanaoumia nchi yao kubakwa na hawa mafisadi!