JituMirabaMinne JF-Expert Member Joined May 4, 2020 Posts 3,381 Reaction score 9,744 Oct 12, 2023 Thread starter #41 Sambinyakwe kitololo said: Kipimo gani kinatumika na factor zipi zitafanya mseme hii inakaribia kufa Click to expand... Tunazo Battery analyzer kama hii, kama hapo State of Health inasoma Replace mwenye gari ukiamua kukaza shingo uendelee kutumia litakukuta jambo muda wowote.
Sambinyakwe kitololo said: Kipimo gani kinatumika na factor zipi zitafanya mseme hii inakaribia kufa Click to expand... Tunazo Battery analyzer kama hii, kama hapo State of Health inasoma Replace mwenye gari ukiamua kukaza shingo uendelee kutumia litakukuta jambo muda wowote.
Tony Cipriano JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 2,139 Reaction score 5,109 Apr 23, 2024 #42 JituMirabaMinne kwa hizi gari used kutoka Japan na sehem nyinginezo je kuna uumuhimu kuifanyia checkup kama hizi kabla kuingia barabarani?
JituMirabaMinne kwa hizi gari used kutoka Japan na sehem nyinginezo je kuna uumuhimu kuifanyia checkup kama hizi kabla kuingia barabarani?