Ukahaba/Umalaya ni kosa la jinai kwa sheria zipi na tafsiri ya ukahaba ni ipi kisheria nchini Tanzania?

Ukahaba/Umalaya ni kosa la jinai kwa sheria zipi na tafsiri ya ukahaba ni ipi kisheria nchini Tanzania?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Nimekuwa nikiona viongozi hasa wa mkoa wa Dar es Salaam na wilaya zake wakiendesha oparesheni mbalimbali za kukamata wanaoitwa makahaba pamoja na kufunguia kile wanachokiita madanguro.

Ningependa kufahamu ukahaba na biashara ya madanguro ni makosa kulingana na sheria zipi za nchi ya Tanzania na hukumu yake ni ipi kisheria.

Pia ningependa kufahamu kutoka kwa wajuzi wa sheria tafsiri ya ukahaba ni ipi, ni wakati gani na wapi ambapo mtu anahesabika kuwa kahaba na hivyo kuwa hatiani kisheria.
 
Kwa hiyo hao polisi wanapomkamata mtu kama kahaba wanamwambia wanamkamata kwa kuvunja sheria gani ya nchi?
Wanamkamata apewe kibali na serikali kujiuza kama nchi za umoja wa ulaya wanavyo pewa kibali 😃😃😃😃
 
Wao waliuziwa mpk waseme hao ni makahaba?? Walete uthibitisho
 
Kwa hiyo hao polisi wanapomkamata mtu kama kahaba wanamwambia wanamkamata kwa kuvunja sheria gani ya nchi?
Sheria ya makosa ya jinai (Penal Code, sura ya 16.

Issue ambayo DC "haielewi" ni kwamba kufanya umalaya sio kosa kisheria. Kosa ni kuishi kwa kutegemea umalaya!

Hao wanaokamatwa mara nyingi hawapelekwi mahakamani maana ni ngumu kuwa na proof kuwa wanaishi kwa kutegemea umalaya.

DC aache kusumbua dada zetu.
 
Sheria ya makosa ya jinai (Penal Code, sura ya 16.

Issue ambayo DC "haielewi" ni kwamba kufanya umalaya sio kosa kisheria. Kosa ni kuishi kwa kutegemea umalaya!
Hii sheria inahusu wote wawili, malaya mnunuliwa na malaya mnunuaji?
 
Ukahaba sio uhalifu, na nakukumbuka raisi wa kwanza wa Tanzania aliwahi kusema uwepo wa ukahaba ni suala la kifalsafa
 
Sheria ya makosa ya jinai (Penal Code, sura ya 16.

Issue ambayo DC "haielewi" ni kwamba kufanya umalaya sio kosa kisheria. Kosa ni kuishi kwa kutegemea umalaya!

Hao wanaokamatwa mara nyingi hawapelekwi mahakamani maana ni ngumu kuwa na proof kuwa wanaishi kwa kutegemea umalaya.

DC aache kusumbua dada zetu.
Sasa kama huyo DC hicho cheo alipewa kwa kutokuzingatia uwezo wake hayo atayajulia wapi na hao ni wazee wa makamera, DC mzima eti unaenda kuzunguka kwenye magesti kutafuta makahaba.
 
Leasing house to prostitute
Is it an offence to lease a house to commercial sex workers?

If it is an offence what is the fate of the house leased to the prostitutes in case the landlord or the landlady is convicted of leasing his or her house?

Is prostitution an offence in Tanzania?

There is no express offence called leasing a house to prostitutes, however a person who knowingly leases a house for prostitution may be charged and prosecuted for the offence called keeping a house for the purpose of prostitution contrary to section 148 of the Penal Code [Cap.16 R.E 2022].

👆👆 Hakuna kosa la kukodishia nyumba kwa lengo la ukahaba isipokuwa iwapo mtu kwa ufahamu wake anapangisha nyumba kwa ajili ya ukahaba anaweza akashtakiwa kwa kosa la kutumia nyumba yake kwa lengo la ukahaba kinyume na kifungu cha 148 cha Kanuni ya Adhabu.

It is an offence under section 148 of the Penal Code to keep a house, room, set a room or place of any kind for the purpose of prostitution.

Section 25(e) of the Penal Code gives Courts powers to impose a forfeiture order against any property used to commit a crime or against any property which is a proceeds of a crime. Upon conviction the Court may order forfeiture of the house leased to the prostitutes without necessarily following the long procedure under the Proceeds of Crime Act.

The Penal Code does not directly prohibit prostitution but sections 145 and 146 prohibits living on the earnings of prostitution wholly or partly.

👆👆Kanuni ya Adhabu haizuii moja kwa moja ukahaba ila vifungu vya 145 na 146 vinazuia kuishi kwa kutegemea mapato yatokanayo na ukahaba aidha kwa kiasi au asililia zote.

We don’t think there is a prostitution which is done entirely for leisure.

Prostitution is mostly for earning a living, so a person found engaging in prostitution or harbouring prostitutes can be arrested and charged with the offence of living on the earnings of prostitution.

The fact that the offender is wholly or partially living on the earnings of prostitution might not have direct evidence.

👆👆Ukweli kwamba mkosaji anaishi kwa kutegemea mapato ya ukahaba unaweza usiwe na ushahidi wa moja kwa moja.

However, the offence can be proved by circumstantial evidence showing the average number of customers the offender is serving or harbouring, other lawful activity she/he is doing apart from prostitution and the circumstances in which the offender is arrested.

It is worth noting that this offence of living on the earnings of prostitution covers both male and female and it extends to those collecting the proceeds of prostitution and live on such proceeds wholly or partly.

By FB Attorneys.

Msisitizo na tafsiri ya Kiswahili kwenye bold ni wa kwangu mimi Kindeena
 
Back
Top Bottom