LAPUA MAGNUM 338
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 431
- 1,223
habari wakuu, mm nina tatizo la ukakasi au kama utando juu ya ulimi ambao huwa mwingi wakati naamka asubuhi pia ulimi unakuwa kama umeliwa ivi. nilienda hospital nkapewa dawa aina mbili Moja nimesahau kdogo ila moja ilikua vitamin b complex, wakat natumia dawa ni kama nilipona ila baada ya dozi tatizo lilianza tena, naombeni ushauri wenu nitumie dawa gani manake nimeenda hospital mbili na kote nimepewa dawa hizo hizo, asante.
Piga mswaki kabla hujalala; Utaamka upo poa.
Ngoja waje wataalam mkuu watakusaidia. Mzizi mkavu uko wapi?
xawa kaka
Ulishawahi kuzama chumvini? Kama hapana una tatizo la vitamins, au yawezekana pia ni aina mojawapo ya magonjwa ya ngozi lakini kama ulishawahi kuwa deepdigger yawesa kuwa umeambukizwa magonjwa ya zinaa kama gono au kaswende au kisonono!!! Mdomo haunuki au kutoa harufu mbaya?
kuzama chumvini cjawai kaka, na mdomo unanuka sana wakati wa kuamka na ulimi unatengeneza mabaka mabaka ila nikkpga mswaki harufu inaisha, hata nkilala mchana harufu inakua ya kawaida, asubuh ndo balaa na nikila nanasi, dagaa, ndizi zaidi ya mbili ulimi unauma sana
Mmh hili ni tatizo linalohusiana na bacteria wa kinywani
sawa mkubwa
Jitahidi kupata tiba kabla hawajajijenga na kuleta tatizo kubwa zaidi[/QUOTE
pmja kaka, naona niende tu kwa watalam wa magonjwa ya kinywa!!
Jitahidi kupata tiba kabla hawajajijenga na kuleta tatizo kubwa zaidi[/QUOTE
pmja kaka, naona niende tu kwa watalam wa magonjwa ya kinywa!!
Mkuu ukifanikiwa kupata tiba usiache kuleta mrejesho kwenye jukwaa hili ili uwasaidie na wengine maana wagonjwa ni wengi!
ucjali kaka nkipona nitaleta mrejesho niwasaidie na wengineMkuu ukifanikiwa kupata tiba usiache kuleta mrejesho kwenye jukwaa hili ili uwasaidie na wengine maana wagonjwa ni wengi!