LAPUA MAGNUM 338
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 431
- 1,223
Habari wakuu, mimi nina tatizo la ukakasi au kama utando juu ya ulimi ambao huwa mwingi wakati naamka asubuhi pia ulimi unakuwa kama umeliwa ivi. nilienda hospital nkapewa dawa aina mbili Moja nimesahau kdogo ila moja ilikua Vitamin B complex.
Wakati natumia dawa ni kama nilipona ila baada ya dozi tatizo lilianza tena, naombeni ushauri wenu nitumie dawa gani manake nimeenda hospital mbili na kote nimepewa dawa hizo hizo.
Asante.
Wakati natumia dawa ni kama nilipona ila baada ya dozi tatizo lilianza tena, naombeni ushauri wenu nitumie dawa gani manake nimeenda hospital mbili na kote nimepewa dawa hizo hizo.
Asante.