Ukakasi kwenye ulimi wakati wa kuamka

Ukakasi kwenye ulimi wakati wa kuamka

LAPUA MAGNUM 338

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
431
Reaction score
1,223
Habari wakuu, mimi nina tatizo la ukakasi au kama utando juu ya ulimi ambao huwa mwingi wakati naamka asubuhi pia ulimi unakuwa kama umeliwa ivi. nilienda hospital nkapewa dawa aina mbili Moja nimesahau kdogo ila moja ilikua Vitamin B complex.

Wakati natumia dawa ni kama nilipona ila baada ya dozi tatizo lilianza tena, naombeni ushauri wenu nitumie dawa gani manake nimeenda hospital mbili na kote nimepewa dawa hizo hizo.

Asante.
 
habari wakuu, mm nina tatizo la ukakasi au kama utando juu ya ulimi ambao huwa mwingi wakati naamka asubuhi pia ulimi unakuwa kama umeliwa ivi. nilienda hospital nkapewa dawa aina mbili Moja nimesahau kdogo ila moja ilikua vitamin b complex, wakat natumia dawa ni kama nilipona ila baada ya dozi tatizo lilianza tena, naombeni ushauri wenu nitumie dawa gani manake nimeenda hospital mbili na kote nimepewa dawa hizo hizo, asante.

Ngoja waje wataalam mkuu watakusaidia. Mzizi mkavu uko wapi?
 
Ulishawahi kuzama chumvini? Kama hapana una tatizo la vitamins, au yawezekana pia ni aina mojawapo ya magonjwa ya ngozi lakini kama ulishawahi kuwa deepdigger yawesa kuwa umeambukizwa magonjwa ya zinaa kama gono au kaswende au kisonono!

Mdomo haunuki au kutoa harufu mbaya?
 
Ulishawahi kuzama chumvini? Kama hapana una tatizo la vitamins, au yawezekana pia ni aina mojawapo ya magonjwa ya ngozi lakini kama ulishawahi kuwa deepdigger yawesa kuwa umeambukizwa magonjwa ya zinaa kama gono au kaswende au kisonono!!! Mdomo haunuki au kutoa harufu mbaya?

kuzama chumvini cjawai kaka, na mdomo unanuka sana wakati wa kuamka na ulimi unatengeneza mabaka mabaka ila nikkpga mswaki harufu inaisha, hata nkilala mchana harufu inakua ya kawaida, asubuh ndo balaa na nikila nanasi, dagaa, ndizi zaidi ya mbili ulimi unauma sana
 
kuzama chumvini cjawai kaka, na mdomo unanuka sana wakati wa kuamka na ulimi unatengeneza mabaka mabaka ila nikkpga mswaki harufu inaisha, hata nkilala mchana harufu inakua ya kawaida, asubuh ndo balaa na nikila nanasi, dagaa, ndizi zaidi ya mbili ulimi unauma sana

Mmh hili ni tatizo linalohusiana na bacteria wa kinywani
 
Kuna muda najisikia kubehua, halafu mdomo mchungu na ukakasi kwenye ulimi.
 
Back
Top Bottom