Raisi ameanza kuamini tuliyokuwa tunamwambia kwamba asiwaamini wote wanao mzunguka. Lakini vilevile amegundua kuna watu walikuwa wana mfitini na kuwaelekeza upinzani kuhusu kukamatwa kwa Mbowe na kuhakikisha wapinzani anawaona kama wabaya.
Ndugai " Sasa 2025 mtaamua mkitoa waliopo nao sawa waje ambao kazi yao kuwa kukopa endapo hiyo ndiyo namna ya ku run nchi" Hii inaonyesha wazi kubwa ana nia ya kugombea!
Ubaya wa mkopo ni mkataba (Terms ) za mkopo
Mfano Awamu ya tano walikopa $1.5B Kwa 8%, miaka 6 kujenga reli. Huu ni mkopo mbaya sana kwasababu kwanza ni pesa nyingi, riba kubwa na muda mfupi. Mikopo kama hii ndiyo inafanya tunalipa kwa kiasi kikubwa pesa ya mapato. Kwa huu mkopo tunalipa kwa mwaka $324,473,079.34 au Tsh 746,288,082,490
Mkopo wa Covid ni wa Ths 1.3 trllion kwa miaka 20 na riba ni 0%. Mkopo huu tunalipa kwa mwaka Tsh Billion 65 tu kwa miaka 20.