Ukame, Nchi jirani zote Maji, Umeme vyote vipo, Why Tanzania tu?

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Tunaambiwa hakuna maji wala umeme sababu ya ukame na kwamba hakuna mvua, nijuavyo mimi Nature haijui mipaka ya kibinadamu, sasa iweje ukame uko kwetu tu? Tena wengine kama Kenya hata ni semi desert lkn kwa nini Nairobi maji yapo? Kwa nini Uganda kwa patron Museveni umeme na maji vyote vipo? Kwa nini Zambia, Burundi au Rwanda hakuna mgao wa umeme?
 
Ujinga unakusumbua.
North Kenya na Uganda ng'ombe wanakufa kwa ukame!
 
Kwa hyo kenya yote unaipima kwa reference ya Nairobi pekee?

Dar yote ambayo ndiyo kama Nairobi kwa Kenya hakuna umeme wala maji, na ndiyo maana nimelinganisha angalau kama shida ya maji ingekuwa Wilayani huko labda kidogo lkn Dar ndiyo mji tajiri tena by far kwa Tanzania lkn hakuna maji wala umeme, …
 
Chukua Chako Mapema ndio tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…