UKAME vs EL NINO;Je ni mabadiliko ya tabianchi au laana...?

Zerock

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2026
Posts
853
Reaction score
1,701
Kuna watu wanajiita (watabiri wa hali ya hewa) ukishajua maana ya utabiri/mtabiri basi utajua wale ni watu wa aina gani.
Dunia ya leo,ukiwa na makaratasi yaliyoandikwa (certificate) unaonekana ni msomi sana hata kama bado ujinga flan kichwani.

Kuna taarifa kuhusu el Nino kila kona ya dunia .na wengine wanaihoji serikali "imejiandaa vipi" 🤡

Kuna baadhi ya watu wanajiona wao wamejiumba, ingawa wanajua hata robots hutengenezwa.

Katika baadhi ya alama za mwisho wa dunia (kiyama) ni pamoja na ukame na el Nino (mvua kuubwa)

Mtume Muhammad (s.a.w)
Kasema kuhusu ukame na kudai mvua zitakuwa zikinyesha kidogo sana kwaajili ya kuotesha majani ya wanyama na mifugo tu, na laiti kama wasingekuwa wanyama,basi mvua zisingenyesha
Hii ni kwasababu ya watu kukishirisha madhambi.

El Nino
Mtume Muhammad (s.a.w)
Anasema
Mvua kubwa zitanyesha lakini hazitakuwa na manufaa/faida kwa mwanadamu (mafuriko).

Ila leo mtu ukimwambia haya mambo yalishasemwa, atakwambia ni stori za yule mwarabu mjinga hakuwa na (certificate)
Leo mtabiri akisimama mbele ya makamera akatangaza,kila mtu atamkubali.

MTAKUFA VIBAYA KWA UJINGA WENU.
 
Ni laana ,We bela wachi hawa backs.

#Mamba24
 
Kwa hiyo mtume alishaiwahi ongelea el nino?

Na kwamba El nino maana yake ni mvua kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…