Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Mr,nadhani taarifa za awali za serikali na hasa ile iliyotolewa na Mh. Rais wetu sasazitakusaidia unielewe nilichomaanisa. Mimi naanza niamini maneno ya Mh Rais kwamba Kapteni wa ile meli hakuwepo kwenye uongozaji wa ile ferry. Yaani kwa watu tunaoyajua vzr kivitendo (acha nadharia) uliyoikariri mambo ya uendeshaji wa vyombo vya majini,tulikuwa na maswali mengi the way ile ajali ilitokea!
Haingewezekana overload pekee ndiyo ikawa imepelekea ile ferry kutumbukia kwa ghafla kiasi kile kwamba haikutoa nafas kwa nahodha wake kumudu kujiokoa. Anyway,kwa vile Mh.Rais keshasema uchunguzi wa kina ufanyike,tuwaamini wataalamu wetu watatuletea taarifa sahihi. But for me,apart from overloading there was a lackness of competent to our captain!
 
Mkuu mbona umekua mpumbafu kiasi hiki?
 
Mbowe safari hii atanyoka tu anajaribu kudandia basikeli kwa mbele!!
 

Hapo ulipo ww ndo unatumia msiba kisiasa zaidi. Post yako ni ya kisiasa kwa kumpa kiki huyo mwingine hlf pia unachofanya kwa lugha rahisi ya kiswahili tunaita unafiki kwani hayo unayosema "kumshukia kama mwewe" si sehemu ya hotuba ya rais aliyoitoa chini ya dkk10 na watanzania wote wameiona. Lkn jambo lingine ni kuwa mh Rais ametekeleza wajibu wake wa kuwafariji watanzania ila ww unaleta uchonganishi hapa.

Nalia na JF hiv kitufe kama hiki [emoji107] watakiweka lini maana thread zingine tunapoteza muda mwingi kumwaga maneno tu ingefaa sana km wangeweka na hcho cha dislike
 
Neno rambrambi jiwe alishaharibu maana yake, no one mwenye akili tinamu is interested, labda mashirika ya serikali yajipendeze
 
Mtu mwenye akili hawezi kulisikitikia wala kulifurahia jambo la kijinga mnajenga mabarabara ya juu maeneo nyingine wkt wanchi wengine wana lundo la shida poleni wafiwa walokufa mungu awaweke panapowastahili
 
Genge la wahuni
 
Ajali hutokea kutokana na makosa y'a kibinadamu ! Hivyo basi kinachotakiwa ni kuzitakia faraja familia zilizo patwa n'a maafa haya makubwa ! Ila kama taifa tujitafakari n'a kujua chanzo ili tatizo lisijirudie ! Kwa haraka mimi naona chanzo ni mizigo kutokupangwa vizuri ili chombo kiwe na balance hivyo centre of boyance ikahama ! Na yote hii ni lack of knowledge kwa attendants ! Kwa kawaida engine ikizima chombo hakiwezi zama maramoja ! Watu wanapata fursa ya kuchukua maboya ! Kwa tatizo kama Hili haliwezi kuisha bila kuweka utaratibu unaosimamiwa n'a qualified persons ndani ya viombo vya majini ! Mengine y'a kusamehana kwani tunajua mapungufu yetu n'a ignorance kama waafrica
 
Hata mbunge wa Ukerewe amewaumbua amesema Kivuko kimeshafanyia matengenezo na kuwekewa injini mpya mbili. Hivyo kawaumbua waliokuwa wanasema eti kilio cha mbunge hakikutekelezwa na serikali sijui sasa wanakimbilia wapi. Badala ya kujikita kwenye uhalisia wa chanzo cha ajali wanaleta siasa uchwara!
 

Nenda kakojoe halafu ulale labda utapata akili.
 
Umekosoa kisomi San.hongera kwako mzee.pamoja san
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…