Omnabuzegwe
Member
- Aug 16, 2018
- 95
- 73
Mr,nadhani taarifa za awali za serikali na hasa ile iliyotolewa na Mh. Rais wetu sasazitakusaidia unielewe nilichomaanisa. Mimi naanza niamini maneno ya Mh Rais kwamba Kapteni wa ile meli hakuwepo kwenye uongozaji wa ile ferry. Yaani kwa watu tunaoyajua vzr kivitendo (acha nadharia) uliyoikariri mambo ya uendeshaji wa vyombo vya majini,tulikuwa na maswali mengi the way ile ajali ilitokea!Mv Bukoba iliwezaje kusafiri usiku kucha tokea Bukoba ikaja kupindukia Mwanza kukiwa kushakucha? tatizo ni kujitia ujuaji kwa kila kitu, jana nilieleza humu sababu pekee ya meli kupinduka ni kukosa stability, hii husababishwa na maofisa wa meli kuzidisha mzigo, kumbuka chombo cha majini kinapoundwa huwekewa mstari wa ukomo wa mzigo ili kuwawezesha watumiaji na wakaguzi kubaini uzito stahiki kabla ya kuanza safari.
Meli inapoundwa huwekewa matanki ya maji kwa chini ili yaipe stability, kutokana na tamaa maafisa wanapoona wamezidisha mzigo na ili wasishtukiwe hupunguza maji kwenye matanki ili meli ipande juu mstari uonekane ili waruhusiwe kuondoka, kitendo hiki hupoteza stability ya meli,mzigo ukizidi tu upande mmoja meli itaoverturn sababu chini ni kwepesi kuliko juu, meli inapoondoka watu huwa wametulia sehemu zao na hivyo mzigo huwa evenly distributed, meli inapokaribia kutua nanga watu hurundikana sehemu moja hivyo meli kupinduka.
Haingewezekana overload pekee ndiyo ikawa imepelekea ile ferry kutumbukia kwa ghafla kiasi kile kwamba haikutoa nafas kwa nahodha wake kumudu kujiokoa. Anyway,kwa vile Mh.Rais keshasema uchunguzi wa kina ufanyike,tuwaamini wataalamu wetu watatuletea taarifa sahihi. But for me,apart from overloading there was a lackness of competent to our captain!