chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
😂😂Angeunganisha na kuhamia tu CCM angejipatia umaarufu Sana
Mbona tayari watakuwa wameshayapata!! Unaweza ambiwa inatumika kuvuta maji kutoka ziwa victoria kwenda dodoma ili kuyapunguza kwani yamekuwa mengi sana, ndio maana ajari zimekuwa nyingi!! Hahaaaa! Hawa magamba ni shida kwa sanaa!!Pesa ikipatikana matumizi mapya yanajitokeza hahahaa
Nimekuelewakwa nilivyoelewa, Nahodha na mkuu wa kivuko ni miongoni mwa waliokufa, Nahodha aliyekufa ni deiwaka ila bado anaitwa nahodha maana ndio aliyekuwa responsible wakati chombo kinazama. Nahodha mwenyewe muajiriwa kama nahodha na anyetambulika na mamlaka kama nahodha halali wa kivuko hakuwa onboard alikuwa onshore.. Ni shida zile zile za wabongo kuwa wazembe kwenye kutimiza majukumu.
Toka mwaka 2004 mpaka leo miaka mingapi?cha msingi ni kwamba
KIVUKO CHA POMBE kimeua, alikinunua mwaka 2004 akiwa waziri wa miundo mbinu, tukumbuke pia pombe alinunua kivuko kingine kibovu cha MV DAR ES SALAAM..
pia pombe kajenga hosteli mbovu za mlimani..
roho za watanzania zinatolewa kafara na huyu mwanasiasa..
Yote aliyoyasema kwenye press ya Jana ni uongo mtupu. Mbunge wa Ukerewe kuweka kula kitu hadharani soon kuhusu hoja take ya kivuko aliyoitoa bungeni. Stay tuned nitawajuza kupitia hapa hapa!
Bado aliweza kuwapumbaza wananchi wakatulia. Kuna mangap serikali inawaongopea wananchi na wanatulia?Wangeweza hata kushinda huko majini na vifaa vyao lkn sio kuwaambia watu wanaosubir ndugu zao et tutaendelea keshoDah inauma sana ila nawaza tu tamko la RC isiwe ishu kiasi hicho, ni makosa ya kibinadamu, lakini pia nahisi alihofia maisha ya waokoaji, maana kwenye Maji kuna mamba, chunisi etc so may be alohofia waokoaji kwenye Giza kudhurika
Umeandika nini sasa we boya
Pole sana mkuu."Ndugu zangu mimi nilikuwepo ndani ya kivuko kile cha MV NYERERE,tumepona tu kwa sababu tulikuwa nje,waliokaa ndani ni ngumu sana kupona kwakuwa kivuko kiligeuka gafla chini juu na kina uzito,
mtu ukifunikwa vile ata waokozi wakifika ndani ya robo saa kukuta bado mzima ni ngumu sana.
Kama hauamini na unazani masihara jaribu kuzama ndani ya pipa la maji kwa dakika 10 bila kupumua uone.
Mimi naomba wale waliozidisha abiria na uzito wakamatwe kama Mhe Rais alivyosema
na sisi abiria tujiongeze
Tukifika standi kwenye basi ama bandarini tuwe tunauliza, je hiki kivuko kina beba watu wangapi ?
na huo uzito ubandikwe kwenye mbao za matangazo,ukiona watu wamezidi usipande ila wa afrika sisi tunalazimisha na wengine tunatoa rushwa ili turuhusiwe kupanda madhara ndio haya,
ni ngumu sana kupona ukifunikwa vile ata kama baada ya dakika 10 kivuko kinge ondolewa majini lazima maiti zingekuwa nyingi sana,
watu waangalie ata Marekani boat ili wahi kuzama kwa kugeuka tu watu 17 wakaaga dunia,,waokozi wanafika wakakuta tayari na wenzetu wameendelea sana lakini kifo cha maji kinaua haraka hasa kama mtu unakuwa umefunikwa kama hawa walikuwa ndani.
Hiki kivuko kime karabatiwa mwaka jana na kote huko kimeenda vizuri tu tunakaribia kupaki watu wa ndani wanagombea kutoka nje
kwa kuwa watu walizidishwa uzito ukaenda sehemu moja kikageuka wajuu tukarushwa kwenye maji ndio pona yetu, wavuvi jirani wakaja kutuokoa,,walipoingia ndani ya kivuko kwa chini mda ule ule wakakuta watu washakufa kwa kukosa hewa sasa watu wasilaumu tu bila kujua.
nawaambia usiombe kufunikwa na kivuko, Sikia tu kwenye mitandao...fikisha salam mimi
John Kisekwa.
Hatuwezi kubali uchafuzi kwa wasio na hatia ,uzembe wa wachache serikalini ,usisababishe serikali nzima kulaumiwa,
Mbunge aweke wazi nini kilifanyika (hatua) baada ya kuiomba serikali kufanyia kazi ombi lake ,tusipepese macho,nongwa zimezidi mno