Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Nimeandika nimefuta nimeandika nimefuta ila tusaidiane hapa ccm ukara wanafanya nini? Wameweka kambi na jezi yao ya kijani ila marufuku kwa wengine kusema juu ya msiba au kufanya lolote ni uchochezi kwa mujibu wa waziri wa mambo ya ndani.

Na marufuku kisema serikalo inahusika na kizama kwa kivuko maana serikali haihusiki na haikuwapakia hao melarehemu
 
Unaposema serikali haina lawama ya moja kwa moja huku ukidokeza ajira za kubebana sikuelewi hapo. Ni Nani aliyewaajiri hao mafundi wa kubebwa? Nadhani ni mmiliki wa meli, Nani mmiliki wa meli serikali, Then serikali haipaswi lawama. Wamiliki wa mabasi yanapopata ajali za kizembe kama hii wanashtakiwa pamoja na watumishi wao hasa pale watumishi wao wanapokuwa hawana baadhi ya sifa, lakini kwa serikali haipaswi kulaumiwa kwa mujibu wa maoni yako!! Serikali inapokea mapato ya abiria 250 kila siku kwa kivuko chenye uwezo wa kubeba abiria 100, inachekelea vinono vinavyoingia bila kujua vinatoka wapi? Yaani baba mwenye nyumba unamwachia mkeo hela ya dagaa mchana ukirudi unakuta mama kapika nyama ya kuku unakula kwa raha zote huku ukisifia ubunifu wa mkeo, kesho akifumaniwa na mume wa mtu hustahili lawama!!
Nina majonzi acha nikae kimya!
 
Daaaaaah Mwenyezi Mungu htusaidie tu jmn maana siyo kwa huu mtihani
 
khaaa hv upo? Mana nilitaka nikufungulie uzi wa kukutafta, Au upo MMU mana kule nilishahamaga
Aaaaah rafiki kwanini ulihama

Mi nipo kimachale machale tu

Miss you sana mzalendo mwenzangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nimeacha kuendelea kunsikiliza Kangi Lugola TBC, badala ya kueleza miakkati na kuongeza nguvu za uokoaji anaanza mipasho.
Kuwa kuna watu wanasema serikali haitaweza kuokoa watu etc.

Hawa jamaa akili zao sijui zipoje
Huyo Zwazwa naye wa kumsikiliza?
 
Ndugu yangu Coaster2015 sijui unamaanisha nini unaposema nanufaika...maana kama vile mtz yeyote anayepambana kwa kudra za Mwenyezi Mungu ndivyo nami nafaidika!
 
Hivi unapoandika comment ndefu namna kana kwamba una uhakika na unachokisema hujisikii aibu? Ina maana hadi sasa hujui kama hiki kivuko kilishafungwa mashine mpya? Hata hiyo hoja ya watu kutolipwa ina maana hujui kama serikali ilishachukua hatua kwa hilo suala? @Moderators watu kama hawa wanaotoa taarifa potofu ni vema kuwablock ili iwe funzo na kwa wengine. Tufike mahali tuache kuwa na members wanaoropoka ropoka tu.
 
hatutakiwi kua wavivu wa kufikiri mwisho hata hao waliochangia utasema wanafanya siasa.
 
kuna umuhimu wa JF kuwa na sera kuhusiana na afya ya AKILI ya wanachama wake.
nadhani ukiangalia mada KAMA hii utaelewa ninamaanisha NINI!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…