AbaMukulu
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 2,053
- 3,586
Najaribu kuwaza mbinu aliyotumia kujipaka oil mwilini ilikuwa na maana gani?Fundi Alphonce aliyeokolewa leo Mungu amlinde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najaribu kuwaza mbinu aliyotumia kujipaka oil mwilini ilikuwa na maana gani?Fundi Alphonce aliyeokolewa leo Mungu amlinde
Alikuwa kwa mchepuko yule kajitosa majini leoNajaribu kuwaza mbinu aliyotumia kujipaka oil mwilini ilikuwa na maana gani?
Sijui ni kwajili ya nn kwakweli?Atakuja semaNajaribu kuwaza mbinu aliyotumia kujipaka oil mwilini ilikuwa na maana gani?
Just imagine capacity yake ilikuwa watu mia, ina maana kila wakati walikuwa wakiwasilisha mauzo ya 100 lkn wanabeba zaidi ya abiria 300, hii excess ilikuwa inawakilishwa kwa nani? je, mizogo excess ilikuwa inawakilishwa kwa nani? tunapofanya uchunguzi wa hili jambo turudi juma kuuliza walianza kubeba hii excess tangu muda gani na walikuwa wanaiwakilisha kwa nani? iundwe tume kuchunguza kwanza hizi pesa zilikuwa zinaenda kwa nani, na hao watu wakamatwe na wafilisiwe. Mods msiunganishe huu uzi, tuanzie hapa kwa uchunguzi ili wale samaki wakubwa wapatikane.
kwa hiyo unapingana na kazi anayofanya magufuli ya kupigana na ufisadi?Wewe Ofisini Kwako hapo ulipo hupigi Hela tena pengine hata kwa Kuwadhulumu na si ajabu hata Kuwaroga wenzio? Tuanzie hapa Kwanza tafadhali.
Duuu. Hii kali kulikoAlikuwa kwa mchepuko yule kajitosa majini leo
Yaani swala la deiwaka wa kivuko sikuwahi kuwaza hata kama linaexist.aKapiteeeeeeni mwenyewe alisharidhika akawa anakula bata akatoa deiwaka.
Kudadeki
ndo hata mi nalisikiaYaani swala la deiwaka wa kivuko sikuwahi kuwaza hata kama linaexist.a
Siku mbili ndani ya maji nitakuwa wa mwisho kuamini alikua miongoni mwa waliozama na hicho kivuko....Alikuwa kwa mchepuko yule kajitosa majini leo
Kuna mambo yanatokea Ili mungu kuzihirisha ukuu wake, mbona hukushangaa wale waliofukiwa kwenye migodi yamadini wakakaaa ndani siku 40+ wakatoka wakiwa hai ,acha mungu aitwe mungu,Pumbavu kabisa!
Sio chuki Hero, hiyo ndio hali halisi kwa sasa hapa nchini, Mwl nyerere aliwahi kusema, Tunahitaji Utawala Bora, Siasa safi na Watu ili kuyatafuta maendeleo ya kweli, sasa hivyo vitu vikikosekana mambo yanakuwa sio sawa, inawezekana nyie wanufaika na mfumo huu mnaona Sawa tu.chuki za namna hii hazijawahi kumwacha mtu salama! haya ya wapiga kura wangu yanahusikaje hapa sasa!?!