Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Kwani upinzani wamekatazwa kufika huko?
Siku hivi humu JF wengi mmekuwa majanga
 
Maiti moja ubani laki 5 , huku bei ya Waitara ikifika hadi mil 800 ! hii ni aibu kubwa sana !
 
Mimi nashindwa kuwaelewa. Yani vyama pinzani. Kimaendeleo vimekua adui mkubwa sana serikalini utadhani wapinzani sio watanzania. Inashangaza sana .
 
Aaaaah rafiki kwanini ulihama

Mi nipo kimachale machale tu

Miss you sana mzalendo mwenzangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
nina bahat mbaya mzalendo hata wale wacheza sebene walioshndkana hawanitak, nikahamia kwa wajane nikijua nitapata pumziko, wajane nao wananiambia wana watu wao.


Mungu ibariki Tanzania
 
nina bahat mbaya mzalendo hata wale wacheza sebene walioshndkana hawanitak, nikahamia kwa wajane nikijua nitapata pumziko, wajane nao wananiambia wana watu wao.


Mungu ibariki Tanzania
Ndo kusema sipati wifi loh

Una gundu mzalendo nenda kaogee maji ya bahari tu
 
Ukiamini ccm hata maiti zitakushangaa !! wamevaa hadi misale yao ile waliyomdhulumu Shigongo utadhani wako kwenye ukumbi wa Rushwa wa Chimwaga .
 
Acheni mambo ya kijinga, serikali imetangaza inagharamia mazishi. Hizi habari mmezitoa wapi nyie. Pia katika hali ya kawaida kutoa rambirambi ni kawaida hata kama ni msiba wa tajiri
 
Pole sana ndugu yangu, hii janga linatia simanzi sana, nimekuw nikifuatilia kwa karibu sana. Unajua ukiinyooshea kidole serikali inakuwa vigumu kubaini tatizo! Hapa kuna watu waliopewa majukumu ya kuendesha mv nyerere ndio hawakutimiza majukumu yao na sasa yametukuta! Tukipoteza ' focus' tuanze mara serikali mara rais hatutafika kokote! Uzembe wa aina hii umekuwa ukitugharimu kila mara! Mtu leo unaomba kazi kesho hutaki kufanya kazi kwa umahiri! Hayo mapato ya watu na mizigo iliyozidi sidhani kama hata ilikuwa ikiingia serikalini zaidi ya kwenye mikono na mifuko ya mafidhuri wachache! Ikifanyika auditing ya kina huu ukweli unaweza bainika. Kila kichwa na mzigo extra ni chakula ya wahuni wachache!
Mtu anaomba na kupata tenda ya kujenga daraja anapunguza viwango na maafa yanatokea…hi ndio hali halisi..na hapa ndipo sitaacha kumtia moyo rais wetu mpendwa kwa kukemea na kushughurika na mambo kama haya ili yapungue kama sio kuisha kwa usalama wetu wote! Huwa napata shida sana watz wenzangu mnapoanza kumponda Magu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…