Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Kwani upinzani wamekatazwa kufika huko?
Siku hivi humu JF wengi mmekuwa majanga
Certified Idiot wewe
Mawazo yako yanawaza vyama vya siasa, Utaishia kuwa mtazamaji tu
Huna unalojua kwenye maisha yako zaidi ya chadema na ccm
 
Wafiwa wakabidhiwe wenyewe, chondechonde tusifukue makaburi
 
Polepole kasema katumwa na Mwenyekiti ili kuisimamua serikali
 
Serikali hi sio fair kabisa wana double standard....nakumbuka gari ya watoto wa shule arusha elivo pata ajari na watoto takribani 30 kupoteza maisha cha kwanza kabisa mkrugenzi wahiyo shule alikamatwa na kufunguliwa mashitaka, hii Mv nyerere watu zaidi ya 150 wamekufa mmiliki wa meri hahakamatwa/Au kwajibika hata kuomba msamaha kwa raia hamna ni mipasho tu. ....tena kibaya zaidi meri haina safety equipment za kuokolea watu hamna kama maboya emergency alarm, .....eti tunajidaganya eti Tz inaweza kua donor country, wakati tunashindwa kua na chopper 1 tu au taa za kumlika ku rescue maisha ya raia, wa nakufa kama kuku.
 
Acha nipumzike na simanzi yangu, poleni ndugu zangu wa Bwisya, Chifule, na watu wa Bugolora, Musozi na hata Ilugwa.
 
Vyama vya upinzani haswa CDM iliyo na MBUNGE wa Ukerewe ilibidi wawe mstari wa mbele kusaidia wahanga wa tukio husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…