Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Kwani upinzani wamekatazwa kufika huko?
Siku hivi humu JF wengi mmekuwa majanga
Certified Idiot wewe
Mawazo yako yanawaza vyama vya siasa, Utaishia kuwa mtazamaji tu
Huna unalojua kwenye maisha yako zaidi ya chadema na ccm
 
Polepole kasema katumwa na Mwenyekiti ili kuisimamua serikali
 
Unaposema serikali haina lawama ya moja kwa moja huku ukidokeza ajira za kubebana sikuelewi hapo. Ni Nani aliyewaajiri hao mafundi wa kubebwa? Nadhani ni mmiliki wa meli, Nani mmiliki wa meli serikali, Then serikali haipaswi lawama. Wamiliki wa mabasi yanapopata ajali za kizembe kama hii wanashtakiwa pamoja na watumishi wao hasa pale watumishi wao wanapokuwa hawana baadhi ya sifa, lakini kwa serikali haipaswi kulaumiwa kwa mujibu wa maoni yako!! Serikali inapokea mapato ya abiria 250 kila siku kwa kivuko chenye uwezo wa kubeba abiria 100, inachekelea vinono vinavyoingia bila kujua vinatoka wapi? Yaani baba mwenye nyumba unamwachia mkeo hela ya dagaa mchana ukirudi unakuta mama kapika nyama ya kuku unakula kwa raha zote huku ukisifia ubunifu wa mkeo, kesho akifumaniwa na mume wa mtu hustahili lawama!!
Nina majonzi acha nikae kimya!
Serikali hi sio fair kabisa wana double standard....nakumbuka gari ya watoto wa shule arusha elivo pata ajari na watoto takribani 30 kupoteza maisha cha kwanza kabisa mkrugenzi wahiyo shule alikamatwa na kufunguliwa mashitaka, hii Mv nyerere watu zaidi ya 150 wamekufa mmiliki wa meri hahakamatwa/Au kwajibika hata kuomba msamaha kwa raia hamna ni mipasho tu. ....tena kibaya zaidi meri haina safety equipment za kuokolea watu hamna kama maboya emergency alarm, .....eti tunajidaganya eti Tz inaweza kua donor country, wakati tunashindwa kua na chopper 1 tu au taa za kumlika ku rescue maisha ya raia, wa nakufa kama kuku.
 
Pole sana ndugu yangu, hii janga linatia simanzi sana, nimekuw nikifuatilia kwa karibu sana. Unajua ukiinyooshe kidole serikali inakuw vigumu kubaini tatizo! Hapa kuna watu waliopewa majukumu ya kuendesha mv nyerere ndio hawakutimiza majukumu yao na sasa yametukuta! Tukipoteza ' focus' tuane mara serikali mara raishatutafika kokote! Uzembe wa aina hii umekuwa ukitugharimu kila mara! Mtu leo unaomba kazi kesho hutaki kufanya kazi kwa umahiri! Hayo mapato ya watu na mizigo iliyozidi sidhani kama hata ilikuw ikiingia serikalini zaidi ya kwenye mikono na mifuko ya mafidhuri wachache! Ikifanyika auditing ya kina huu ukweli unaweza bainika. Kila kicha na mzigo extra ni hagula ya wahuni wachache!
Mtu anaomba na kupata tenda ya kujenga daraja anapunguza viwango na maafa yanatokea...hi ndio hali halisi..a hapa ndipo sitaacha kumtia moyo rais wetu mpendwa kwa kukemea na kushughurika na ambo kama haya ili yapungue kama sio kuisha kwa usalama wetu wote! Huwa napata shida sana watz wenzangu mnapoanza kumponda Magu!
Acha nipumzike na simanzi yangu, poleni ndugu zangu wa Bwisya, Chifule, na watu wa Bugolora, Musozi na hata Ilugwa.
 
Vyama vya upinzani haswa CDM iliyo na MBUNGE wa Ukerewe ilibidi wawe mstari wa mbele kusaidia wahanga wa tukio husika
 
Back
Top Bottom