Kukumbushana pia niungwana sanaMkuu kama unayo toa tu kama huna unaacha
Maana huku mitaani tunatoa hata misiba tusiyo ijua na wengne wanakuwa wapigaji tu na tunatoa
Kama Sina sitoi nikiwa nacho nitatoa
unataka maiti zipigwe mabomu ?Vyama vya upinzani haswa CDM iliyo na MBUNGE wa Ukerewe ilibidi wawe mstari wa mbele kusaidia wahanga wa tukio husika
Kukumbushana ni jema kabisa na umefanya kile kinacho takiwa kufanyikaKukumbushana pia niungwana sana
Kabisa tena hii ni ya moto, uhai wa watu mnauletea mzaha.Naona mmepata sera mpya kwa ajili ya uchaguzi wa 2020
ooh thanks mkuu umeniongezea kitu mambo ya osmolarity na fresh water ooh yeahOil inasaidia maji yasiingie kwenye ngozi.
Wako ufipa wakitapanya uongo eti mbunge alipuuzwa. Yaani watu wengine bwana!Kwani upinzani wamekatazwa kufika huko?
Siku hivi humu JF wengi mmekuwa majanga
Je unafikiri makosa yale ya kagera yataacha kujirudia?Kukumbushana ni jema kabisa na umefanya kile kinacho takiwa kufanyika
Ila kumbuka jamii zetu zimeumbwa na upendo hivyo kila mtu atajiangalia kwa uwezo wake na jinsi atakavyo tafakari juu ya hili
Hata mwenyekiti wa cdm kanda ya ziwa mh wenje hajatoa hata pole achilia kutokufika eneo la tukioVyama vya upinzani haswa CDM iliyo na MBUNGE wa Ukerewe ilibidi wawe mstari wa mbele kusaidia wahanga wa tukio husika
Jukumu la mazishi haya sio la serikali. Shughuli za uchaguzi ni wajibu wa serikali.Ivi nchi hii tumerogwa?
Inakuwaje serikali inashindwaje kuhudumia watu 200 waliofikwa na maafa mpka wachangishe watu? Tena kwa vitisho.
Nashangaa waziri wa ulinzi anadai serikali haihusiki na kuzama kwa meli ila kumbuka kuwa kivuko ni cha serikali tena kwa kusema atakaye sema serikali inahisika atakamatwa.
Ivi hela za uchaguzi zinatoka wapi ila za maafa hazipo?
Nimeweka uzi jana kuwa tusitoe rambi rambi wakaufuta wakubwa wa JF, maana siuoni!Je kufunguliwa A/C ya mafa yaliyotokea ajali ya kivuko je AC ya mafa ya tetemeko Kagera yamesaulika? Je Rambirambi ya Watoto wa Lucky Vicent waliyopata ajali yamesaulika tuwekane sawa
Haya ma"authority" yatatumaliza. Ni kama ma"co, co" ya enzi za Mhe. Nandonde.Sumatra anasimamia vivuko?TEMESA ndo anaesimamia vivuko,,,
Swala la kujirudia linaweza kujirudia ndio maana mwanzo nimesema kuwa mwenye uwezo wa kutoa atoe ila ukikuta nafsi yako haijaridhia kutoa basi basi achana nayo usitoeJe unafikiri makosa yale ya kagera yataacha kujirudia?