Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Hizo hela za rambirambi wataenda kujengea ofisi za CCM kama walivyofanya Kagera. Hawana ubinadamu hawa....kutumia matatizo ya watu kujinufaisha.
 
Serikali inahusika,kwasababu ndio ilinunua kivuko,idara yake ya temesa na sumatra ndio wanahusika na watumishi wake wanalipwa na serikali isitoshe msimamizi mkuu wa sheria na usalama kazini ni serikali,sasa kwa nini serikali isihusike kama inashindwa kusimamia hayo yote na yanayofanyika kwenye idara zake.....

R.I.P watanzania wenzetu.
 
Msichangie. As simple as that. Hela wanazo nyingi sana hawa. Tupo vizuriii
 
Ivi nchi hii tumerogwa?

Inakuwaje serikali inashindwaje kuhudumia watu 200 waliofikwa na maafa mpka wachangishe watu? Tena kwa vitisho.

Nashangaa waziri wa ulinzi anadai serikali haihusiki na kuzama kwa meli ila kumbuka kuwa kivuko ni cha serikali tena kwa kusema atakaye sema serikali inahisika atakamatwa.

Ivi hela za uchaguzi zinatoka wapi ila za maafa hazipo?
Jukumu la mazishi haya sio la serikali. Shughuli za uchaguzi ni wajibu wa serikali.
 
Unafki ni kitu mbaya sana. Halafu utasikia mkubwa mmoja kachotewa milioni 500 akatibiwe India. Hizi hizi zinazochangwa na walipa kodi wa Ukerewe!
 
kama ulivyoeleza tunawataka wasimamiaji watueleze, Rais ana majukumu ya watu zaidi ya milioni hamsini, sasa hawezi kusimamia kivuko kimoja. Mbona hata siku moja hatujaskia ndege imeanguka kutokana na kuzidisha mzigo ? we have to be serious !!muda unakwenda..!!
 
Je kufunguliwa A/C ya mafa yaliyotokea ajali ya kivuko je AC ya mafa ya tetemeko Kagera yamesaulika? Je Rambirambi ya Watoto wa Lucky Vicent waliyopata ajali yamesaulika tuwekane sawa
Nimeweka uzi jana kuwa tusitoe rambi rambi wakaufuta wakubwa wa JF, maana siuoni!
 
Je unafikiri makosa yale ya kagera yataacha kujirudia?
Swala la kujirudia linaweza kujirudia ndio maana mwanzo nimesema kuwa mwenye uwezo wa kutoa atoe ila ukikuta nafsi yako haijaridhia kutoa basi basi achana nayo usitoe

Makosa ya wahusika hayawezi kufutika kwenye fikira zetu
 
Back
Top Bottom