Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
This is more than trueThere is no line btn ccm and devils agents
Mkuu umenichekesha sana na hii comment yakoUnataka kutuambia kuwa ccm si miongoni mwa jamii yetu kutokana na ukatili wanaotutendea?
Yaani tukivamiwa na majambazi wanatutaka tujilinde, lakini hawataki tulinde kura zetu!
Certified Idiot wewe
Mawazo yako yanawaza vyama vya siasa, Utaishia kuwa mtazamaji tu
Huna unalojua kwenye maisha yako zaidi ya chadema na ccm
Walikuwa WANATOKA gulioniKama sikosei walikuwa wanaenda ktk shughuli za ki-biashara/Gulioni
mkuu hawa watu hawajawahi kuwa na huruma .Kama wanahuruma na wafiwa watoe rambirambi kwenye fungu la maafa waache kutafuta njia za kupigia pesa,mbona fedha za kununulia wabunge wa upinzani hawasemi zinatoka katika account ipi?.
Je kufunguliwa A/C ya mafa yaliyotokea ajali ya kivuko je AC ya mafa ya tetemeko Kagera yamesaulika? Je Rambirambi ya Watoto wa Lucky Vicent waliyopata ajali yamesaulika tuwekane sawa
Kwa hili yeyote anayesema serikali isilaumiwe basi ndio adui namba moja wa nchi yetu,anapaswa kuchukiwa kupita maelezoInatakiwa usifu kwanza , kisha uabudu. Na ndipo utafute wa kumuachia msala .
Vinginevyo utaambiwa huna uzalendo.
Tuwekane sawaAccidents na wizi haundoi utaratibu mkuu Acha Majungu.
Kweli mkuu, hawa watu wakiachwa wanatumalizia ndugu zetu na kutuacha na huzuni. Adhabu kali inapaswa kwaoKama ile dala dala iliyotumbukia kigongo ferry pale jijini mwanza. Dereva alimpa deiwaka.
LolKama wanahuruma na wafiwa watoe rambirambi kwenye fungu la maafa waache kutafuta njia za kupigia pesa,mbona fedha za kununulia wabunge wa upinzani hawasemi zinatoka katika account ipi?.