Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Inatakiwa usifu kwanza , kisha uabudu. Na ndipo utafute wa kumuachia msala .

Vinginevyo utaambiwa huna uzalendo.
 
Certified Idiot wewe
Mawazo yako yanawaza vyama vya siasa, Utaishia kuwa mtazamaji tu
Huna unalojua kwenye maisha yako zaidi ya chadema na ccm

🤣🤣🤣🤣🤣
Na ukaletwa kupumua hewa na hao umewataja mlivyo.

💉💉💉💉
 
Kama wanahuruma na wafiwa watoe rambirambi kwenye fungu la maafa waache kutafuta njia za kupigia pesa,mbona fedha za kununulia wabunge wa upinzani hawasemi zinatoka katika account ipi?.
mkuu hawa watu hawajawahi kuwa na huruma .
 
Inatakiwa usifu kwanza , kisha uabudu. Na ndipo utafute wa kumuachia msala .

Vinginevyo utaambiwa huna uzalendo.
Kwa hili yeyote anayesema serikali isilaumiwe basi ndio adui namba moja wa nchi yetu,anapaswa kuchukiwa kupita maelezo
 
Kama ile dala dala iliyotumbukia kigongo ferry pale jijini mwanza. Dereva alimpa deiwaka.
Kweli mkuu, hawa watu wakiachwa wanatumalizia ndugu zetu na kutuacha na huzuni. Adhabu kali inapaswa kwao
 
Hela wamewafungia punda traffic lights huko chato na chenji wanajengea uwanja (kasitediumu)
Msiogope kufa maana imeandikwa (in rocks voice)
 
Bahati mbaya ccm wanasahau kwamba wote tutakufa, sijuwi wanadhani wao ndio bora?
 
Back
Top Bottom