Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
Mkuu njia za kutoa ziko nyingi za kuwafikia walengwa directly. Hiyo acct walipaswa kuomba radhi kwanza kuhusu yale ya tetemeko kisha wafungue mpya.Swala la kujirudia linaweza kujirudia ndio maana mwanzo nimesema kuwa mwenye uwezo wa kutoa atoe ila ukikuta nafsi yako haijaridhia kutoa basi basi achana nayo usitoe
Makosa ya wahusika hayawezi kufutika kwenye fikira zetu
Unacho sema ni kweli maana kuna wakati watu watafanya kwa kuwa mkubwa amesemaMkuu njia za kutoa ziko nyingi za kuwafikia walengwa directly. Hiyo acct walipaswa kuomba radhi kwanza kuhusu yale ya tetemeko kisha wafungue mpya.
Najua wapo watakao changishwa (nguvu ya kimya kimya) kama makampuni makubwa, wenye majina makubwa, wanasiasa nk
Hiyo ndio Serikali ya 5 ni zaidi ya uijuavyo full ubabe.Ivi nchi hii tumerogwa?
Inakuwaje serikali inashindwaje kuhudumia watu 200 waliofikwa na maafa mpka wachangishe watu? Tena kwa vitisho.
Nashangaa waziri wa ulinzi anadai serikali haihusiki na kuzama kwa meli ila kumbuka kuwa kivuko ni cha serikali tena kwa kusema atakaye sema serikali inahisika atakamatwa.
Ivi hela za uchaguzi zinatoka wapi ila za maafa hazipo?
Yule deiwaka alikuwa fala sana aliambiwa asipeleke gari ziwani kuna kina kirefu akazingua akauwa watuKama ile dala dala iliyotumbukia kigongo ferry pale jijini mwanza. Dereva alimpa deiwaka.
Hii idadi ya Jumla ya watu 400 iliyotajwa toka mwanzo itakuwa ni sahihi.Idadi sasa ni 209
Kwani wameomba radhiMkuu njia za kutoa ziko nyingi za kuwafikia walengwa directly. Hiyo acct walipaswa kuomba radhi kwanza kuhusu yale ya tetemeko kisha wafungue mpya.
Najua wapo watakao changishwa (nguvu ya kimya kimya) kama makampuni makubwa, wenye majina makubwa, wanasiasa nk
Ndo mwisho wako wakufikiriNaona mmepata sera mpya kwa ajili ya uchaguzi wa 2020
Siyo kidogoWatakula kama za kagera wachange wenyewe
Na watu wa tabora waogelee kwny bahar gani??Ipo haja kwa hapa tulipofikia ikawa ni lazima kwa kila mtu ajue kuogelea ili kupunguza vifo vya majini
Tena inajirudia kwa ubaya sanaHistoria hujirudia.
Rais magufuli anatakiwa aende eneo la tukio soon.
Si bora hao mbowe kaweka kambi kinondoni badala ya ukara. Hii ajali ingekuwa ugweno ungeona anavyohangaikaCcm wanafiki sana. Majukwaani wanasema serikali haitopeleka maendeleo kwenye majimbo ya wapinzani. Maafa yakitokea wanaweka kambi kuwahadaa wafiwa na kueneza propaganda kwamba hawahusiki.