Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
Mkuu njia za kutoa ziko nyingi za kuwafikia walengwa directly. Hiyo acct walipaswa kuomba radhi kwanza kuhusu yale ya tetemeko kisha wafungue mpya.Swala la kujirudia linaweza kujirudia ndio maana mwanzo nimesema kuwa mwenye uwezo wa kutoa atoe ila ukikuta nafsi yako haijaridhia kutoa basi basi achana nayo usitoe
Makosa ya wahusika hayawezi kufutika kwenye fikira zetu
Najua wapo watakao changishwa (nguvu ya kimya kimya) kama makampuni makubwa, wenye majina makubwa, wanasiasa nk