Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Endeleeni na umbea wenu. Diwani wa kata ya Matarawe (chadema), Manispaa ya Songea leo amejiuzulu nyadhifa zake zote kuunga mkono juhudi. Mnajitoa ufahamu sio?

Chanzo:
 
 
..marehemu Mzee Jayantilal "Andy" Chande aliwahi kuandika kwamba MV Bukoba ilikuwa haina bima ya ajali.

..mtakumbuka Mzee Andy Chande alikuwa Chairman wa Bodi ya Wakurugenzi wa TRC ambayo ilikuwa wamiliki wa meli ya MV Bukoba.

..MV Bukoba ingekuwa na bima, familia za wahanga wa ajali ile wangeweza kulipwa fidia kutokana na kupoteza wapendwa wao ktk ajali.

..ajali ya MV Nyerere imenikumbusha suala hili la Bima. Sijui kama serekali ilikuwa imekikatia bima kivuko cha MV Nyerere.

..Hakuna chembe ya mashaka kwamba UZEMBE ktk ngazi mbalimbali za watendaji wa serekali ndiyo chanzo cha ajali ya MV Nyerere. Wahanga wana haki ya kuidai serekali fidia kutokana na ajali hii.

..Swali ni, JE, serekali ilikikatia BIMA kivuko cha MV Nyerere?

cc chige, Nguruvi3, Pascal Mayalla, Richard
 
Nadhani kuwe na utaratibu watu wakipanda kwenye vyombo vya majini wavae life jackets. Hii itasaidia sana kupunguza vifo.
 
Na za kununu viongozi wa upinzani
 
Mimi toka nimezaliwa mpaka sasa bima/fidia pekee niliyowahi kuiskia bongo ni ya yule DIRECTOR TISS
 
kufa kufaana, jamaa anapiga tena hela kiulaiiniiii...kama Kagera vile
 
Mpaka sasa kitabu chenye orodha au kumbukumbu ya abiria waliopanda kivuko cha MV Nyerere kilichopata ajari hakionekani kilipo au kwa lugha nyepesi ni kwamba kimepotea, na hii inafanya kutokuwepo na idadi kamili ya abiria waliopanda ndani ya kivuko hicho.

Ombi; kwa yeyote atakaye kiona popote pale kilipo anaweza kukiwasilisha sehemu husika.
 
Changia Kwa Kadiri Ya Uwezo Wako. Wakila Watajijua Wao
Maana Pesa Au Mali Ya Dhuruma Huwa Na Kalaana Fulani.
 
Naona mmepata sera mpya kwa ajili ya uchaguzi wa 2020
Wewe kuielewa hoja ya mleta uzi ni ngumu sana maana ujinga umewajaa hata kuhoji na kudadisi imekuwa msamiati usiowezekana kwenu, mtaendelea kuwa watumwa wa wanasiasa uchwara hadi mnazeeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…