Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

209
IMG-20180922-WA0051.jpg
 
Endeleeni na umbea wenu. Diwani wa kata ya Matarawe (chadema), Manispaa ya Songea leo amejiuzulu nyadhifa zake zote kuunga mkono juhudi. Mnajitoa ufahamu sio?

Chanzo:
 
Ili akawawafue wafu au?

Aende kufanya nini.

Maana gharama zilizotumika kuwapeleka viongozi waliokwisha fika huko nikubwa pengine zingesaidia kununua kivuko kingine ili wasije kufwariki kwenye mitumbwi wakati huu ambao kivuko kimelala kifudifudi.

Na watu wataogopa kukipanda kwa muda hicho kivuko KILICHOUA kitakapo zinduka.
3C59F40F-7ACE-432E-8B47-3FFFA023F78E.jpeg
 
..marehemu Mzee Jayantilal "Andy" Chande aliwahi kuandika kwamba MV Bukoba ilikuwa haina bima ya ajali.

..mtakumbuka Mzee Andy Chande alikuwa Chairman wa Bodi ya Wakurugenzi wa TRC ambayo ilikuwa wamiliki wa meli ya MV Bukoba.

..MV Bukoba ingekuwa na bima, familia za wahanga wa ajali ile wangeweza kulipwa fidia kutokana na kupoteza wapendwa wao ktk ajali.

..ajali ya MV Nyerere imenikumbusha suala hili la Bima. Sijui kama serekali ilikuwa imekikatia bima kivuko cha MV Nyerere.

..Hakuna chembe ya mashaka kwamba UZEMBE ktk ngazi mbalimbali za watendaji wa serekali ndiyo chanzo cha ajali ya MV Nyerere. Wahanga wana haki ya kuidai serekali fidia kutokana na ajali hii.

..Swali ni, JE, serekali ilikikatia BIMA kivuko cha MV Nyerere?

cc chige, Nguruvi3, Pascal Mayalla, Richard
 
Nadhani kuwe na utaratibu watu wakipanda kwenye vyombo vya majini wavae life jackets. Hii itasaidia sana kupunguza vifo.
 
Ivi nchi hii tumerogwa?

Inakuwaje serikali inashindwaje kuhudumia watu 200 waliofikwa na maafa mpka wachangishe watu? Tena kwa vitisho.

Nashangaa waziri wa ulinzi anadai serikali haihusiki na kuzama kwa meli ila kumbuka kuwa kivuko ni cha serikali tena kwa kusema atakaye sema serikali inahisika atakamatwa.

Ivi hela za uchaguzi zinatoka wapi ila za maafa hazipo?
Na za kununu viongozi wa upinzani
 
Mimi toka nimezaliwa mpaka sasa bima/fidia pekee niliyowahi kuiskia bongo ni ya yule DIRECTOR TISS
 
kufa kufaana, jamaa anapiga tena hela kiulaiiniiii...kama Kagera vile
 
Mpaka sasa kitabu chenye orodha au kumbukumbu ya abiria waliopanda kivuko cha MV Nyerere kilichopata ajari hakionekani kilipo au kwa lugha nyepesi ni kwamba kimepotea, na hii inafanya kutokuwepo na idadi kamili ya abiria waliopanda ndani ya kivuko hicho.

Ombi; kwa yeyote atakaye kiona popote pale kilipo anaweza kukiwasilisha sehemu husika.
 
Changia Kwa Kadiri Ya Uwezo Wako. Wakila Watajijua Wao
Maana Pesa Au Mali Ya Dhuruma Huwa Na Kalaana Fulani.
 
Naona mmepata sera mpya kwa ajili ya uchaguzi wa 2020
Wewe kuielewa hoja ya mleta uzi ni ngumu sana maana ujinga umewajaa hata kuhoji na kudadisi imekuwa msamiati usiowezekana kwenu, mtaendelea kuwa watumwa wa wanasiasa uchwara hadi mnazeeka
 
Back
Top Bottom