Acha ukumaaa wewe ni msengeee na matakoo ya bibi yakoo..! Hivi ungekuwa na ndugu aliyefia humo afu upewe laki 5 unaweza kukodi gari ya bibi yako upeleke maiti musoma kwa pesa hiyo? Potelea mbali maji utambue pale ni kisiwani.Naona mmepata sera mpya kwa ajili ya uchaguzi wa 2020
Tunaomboleza kwa janga lililotokana na kiburi cha watawalaKwani jumatatu kazi zinaendelea au tunaomboleza
Laana iwapate wahusikaItakua kimechomwa moto kabisa
Ndo leo umepata Taarifa eeh?? Unastahil viboko bahat yakoso so sad jamani, R.I.P wapendwa wetu
Super factorSerikali ya wanyonge inaponunua ndege za mabilioni ya pesa za Watanzania masikini kwa ajili ya kupanda matajiri wachache na kuacha kununua kivuko cha wananchi masikini cha kiasi cha bilioni 2 ni kituko cha karne
Mbona barabara navuka na sigongwi na magari ?Huna akili
GENTAMYCINE Mkuu upo sahihi hii ajali ni AJALI km ya Basi la abiria, Treni au NdegeHoja nyepesi kabisa hii Mkuu na usirudie tena kuisema hapa katika ulingo huu ' tukuka ' kabisa wa ' Great Thinkers ' wa JamiiForums. Tena usishangae ukasikia kwamba 95% ya waliopoteza maisha ndiyo wale ' Wajuvi / Wataalam ' wa Kuogolea na hao waliookolewa ndiyo ' Mangumbaru ' wenzangu wa Kuogelea. Kujua Kuogolea hakukupi Wewe 100% ' Guarantee ' kwamba ikitokea dhoruba Majini na Chombo ama kwenda mrama au Kuzama kabisa basi utapona. Halafu tusisahau pia kwamba Siku ikipangwa imepangwa tu.
Sure mkuuLaana iwapate wahusika
Only In TanzaniaMaajabu
Kuna tiketi za kiiectronic kwa hiyo ni rahisi kupata idadi ya watuKulikuwa na kitabu?
Hivi pale Ferry au Kivukoni kuna orodha mnapopanda kivuko?
mtu mweusi ataendlea kudharauliwa tu popotee alipoMpaka sasa kitabu chenye orodha au kumbukumbu ya abiria waliopanda kivuko cha MV Nyerere kilichopata ajari hakionekani kilipo au kwa lugha nyepesi ni kwamba kimepotea, na hii inafanya kutokuwepo na idadi kamili ya abiria waliopanda ndani ya kivuko hicho.
Ombi; kwa yeyote atakaye kiona popote pale kilipo anaweza kukiwasilisha sehemu husika.
Usisahau pia kuvaa kondom hakumaanishi asilimia mia utakuwa safe,lakin bado ni njia moja wapo yakujikinga na VVUHoja nyepesi kabisa hii Mkuu na usirudie tena kuisema hapa katika ulingo huu ' tukuka ' kabisa wa ' Great Thinkers ' wa JamiiForums. Siku ukipata muda nenda pale Kunduchi Beach waulizie hawa Wavuvi wawili maarufu wa enzi hizo ambao walipewa majina ya Samaki Kulwa ( Madenge ) na Samaki Dotto ( Kudura ) kutokana na Uhodari wao wa Kuogelea na Kuyakata maji utadhani walizaliwa Baharini au wana Undugu na akina Papa na Nyangumi.
Siku moja walienda Kuvua kama kawaida yao tena wakiwa na Wavuvi wenzao ambapo huko mbele Mtumbwi wao ulipatwa na dhoruba kali kidogo kutokana na eneo waliloenda ni la Mkondo wa Nungwi kama lilivyo eneo la Pwani ya Msasani jirani na Nyumba ya Nyerere na lilipo Soko la Samaki la Msasani. Cha Kushangaza baada ya kutokea hivyo dhoruba hao akina Samaki Kulwa na Samaki Dotto pamoja na Utundu na Utaalam wao wote wa Kuogolea ila Miili yao ndiyo iliyokuwa ya Kwanza Kuopolewa huku wakiwa wameshakufa na wale ambao ndiyo walikuwa kama GENTAMYCINE ' mangumbaru ' wa Kuyakata Maji ( Kuogolea ) walijitahidi kidogo hadi wenzao wa Mtumbwi mwingine kuja Kuwaokoa ila wakiwa wameshakunywa sana Vikombe na Matumbo yameumuka.
Wewe unadhani katika hao Abiria wote waliokuwemo katika MV Nyerere kulikuwa hakuna akina Samaki Kulwa na Samaki Dotto? Tena usishangae ukasikia kwamba 95% ya waliopoteza maisha ndiyo wale ' Wajuvi / Wataalam ' wa Kuogolea na hao waliookolewa ndiyo ' Mangumbaru ' wenzangu wa Kuogelea. Kujua Kuogolea hakukupi Wewe 100% ' Guarantee ' kwamba ikitokea dhoruba Majini na Chombo ama kwenda mrama au Kuzama kabisa basi utapona. Halafu tusisahau pia kwamba Siku ikipangwa imepangwa tu.