Kuna jamaa alisitisha zoez la uokozi kisa Giza limeingiaNoo naisikitikia idadi ya watu inavozidi kuongezeka ilikua 131 mpk 209 mkuu
Inategemea na ajali itatokea vipi ikipinduka ghafla ikawafunika ni ngumu labda kama ulikuwa juu ukawatupwa majiniCoz pale tu karibu na nchi kavu watu wamekufa je ingezama kama mv spice islander ingekuaje
Ndio mkuu, walikua wamechoka na zoezi, afu giza limeingia, bas wakaona haina budi turudi home tukalale unooono, asubuhi tutaendeleaKuna jamaa alisitisha zoez la uokozi kisa Giza limeingia
Niongezee kama wao wanajua kule mahitaji ya usafiri wa kivuko ni makubwa kwa nini wasiweke vivuko hata viwili vikawa vinabadilishana ...maana ukiangalia hapo sababu kubwa ni ujazo unaosababishwa na wingi wa watu ,sasa kama ni hvyo wangenunua hata viwili maana obviously hicho kivuko kikienda hakirudi hyo ndo sababu ya msingi kabisaa ya kufanya watu wajazane..Unaposema serikali haina lawama ya moja kwa moja huku ukidokeza ajira za kubebana sikuelewi hapo. Ni Nani aliyewaajiri hao mafundi wa kubebwa? Nadhani ni mmiliki wa meli, Nani mmiliki wa meli serikali, Then serikali haipaswi lawama. Wamiliki wa mabasi yanapopata ajali za kizembe kama hii wanashtakiwa pamoja na watumishi wao hasa pale watumishi wao wanapokuwa hawana baadhi ya sifa, lakini kwa serikali haipaswi kulaumiwa kwa mujibu wa maoni yako!! Serikali inapokea mapato ya abiria 250 kila siku kwa kivuko chenye uwezo wa kubeba abiria 100, inachekelea vinono vinavyoingia bila kujua vinatoka wapi? Yaani baba mwenye nyumba unamwachia mkeo hela ya dagaa mchana ukirudi unakuta mama kapika nyama ya kuku unakula kwa raha zote huku ukisifia ubunifu wa mkeo, kesho akifumaniwa na mume wa mtu hustahili lawama!!
Nina majonzi acha nikae kimya!
arrgh inaumiza mnoKuna jamaa alisitisha zoez la uokozi kisa Giza limeingia
Basi tu niivi amna kitufe cha Voice note, ila nilitaka Usikie Sauti yangu ilivyo na hasira juu ya hii kitu!!arrgh inaumiza mno
Acha kabisa jamaa ninoma haoo balaaa.Ndio mkuu, walikua wamechoka na zoezi, afu giza limeingia, bas wakaona haina budi turudi home tukalale unooono, asubuhi tutaendelea
Eeh walikoroma fresh, na cha asubuhi wengine walipigaAcha kabisa jamaa ninoma haoo balaaa.
Ivi walipata na usingizi kwelikweli???
Weee jamaaa unachocheaVideo muhimu Sana hiki kipindi hatuwezi kuaminiana kimaandishi hivi,
Huwa wanatekeleza kwa maneno, wakijitahidi kuleta ujue n used kuzima mara kwa mara inakuwa n kawaida.Mh Kasim Majaliwa ameongea na akasema hilo sawala la injini lilitekelezwa kama mbunge alivyo omba, kiukweli ni kwamba ajali haijasababishwa na ubovu au uchakavu hili limetokana na uzembe wa kujitakia. Tusimtafute mchawi ni nani tu ungane pamoja kuomboleza tuwafariji wafiwa tuache siasa kwenye hili.
TruthThere is no line btn ccm and devils agents
Swala la kujaza mara kwa mara sio guarantee ya kutopata ajali.Hata huko barabarani magari huwa yanakimbia sana lkn siku dereva akikosa timing tu chali.Huwa wanatekeleza kwa maneno, wakijitahidi kuleta ujue n used kuzima mara kwa mara inakuwa n kawaida.
Swali fikirishi, kwnn kivuko kijaze zaid ya uwezo wake?
Je n mara ya 1 kufanya hvyo au n kila cku?
Kamati za ulinzi na usalama zinafanya kaz gan, na hao wasimamiz wa vivuko na mamlaka zilizowekwa kisheria hazioni!?
Mapato walikuwa wanapokeo bila kuuliza kwamba walikuwa hawajui haya kama yanatendeka?
Hili halikwepeki
Hayo unayasema wewe.mkuu. hata wakiunga mkono hali inazidi kuwa ngumu tu. kule ruvuma bei ya kahawa na mahindi haieleweki bado...
Barbara gana ndio nini?Babar gana tena iyo mzee baba
Au Mbowe, wote hao akili zao ni hivyo hivyo....yaani mmekuwa na akili kama za Mange au Zitto?
Au Mbowe, wote hao akili zao ni hivyo hivyo.
Hahaha na chai kabisaa alafu ndo wakaingia shuguliniEeh walikoroma fresh, na cha asubuhi wengine walipiga