Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Kuna picha nimeziona dahhh alie zipiga alaaniwe kabisa huwez mpiga picha marehem kama zile angesema toka siku ya kwanza so leo
 
Umetusaidia sana kutoa muongozo kwamba hakuna kurusha upuuzi wowote mitandaoni kuhusu ajali ya Mv Nyerere. Asante sana, kwani hali mitandaoni ilikuwa mbaya sana

..kuna upuuzi mkubwa zaidi ya taarifa kwamba kivuko kilikuwa kinaendeshwa na "dei-waka."?

..taarifa hizo zimeichafua nchi.

Cc tindo, Pascal Mayalla, Richard
 
Mzee hat bavicha hawapingi rambirambi.ulipo wew,bavicha hawajafij bad na hswatofika
 
Rambi rambi tz changamoto sikuhizi maana unatoa huku roho haikupi kama zitwafikia walengwa -rejea tetemeko
 
Umetusaidia sana kutoa muongozo kwamba hakuna kurusha upuuzi wowote mitandaoni kuhusu ajali ya Mv Nyerere. Asante sana, kwani hali mitandaoni ilikuwa mbaya sana
Mbona mchezo umemalizika mkuu , na uzuri ni kwamba yote yaliyorushwa ni kweli tupu na hayafutiki !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…