The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
218 dead? Oh my God!
RIP the deceased.
Poleni sana mliopoteza ndugu na jamaa.
RIP the deceased.
Poleni sana mliopoteza ndugu na jamaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajibiwa unachouliza!!Nadhani hamaanishi umri huyo
Hili ni lq muhimu kumkumbusha, maana bendera zote sharti zipepee nusu mlingoti hata kama bendera uko kwenye chupi!Kashashusha bendera zake za kwenye makoti??? Maana si mko katika maombolezo ama???
Hii ndio maana halisi ya neno 'click bait'Nimekuja mbio nikidhani waziri kavua koti lake la bendere bendera kazama majini kuokoa watu..., kwaherini!
Umetusaidia sana kutoa muongozo kwamba hakuna kurusha upuuzi wowote mitandaoni kuhusu ajali ya Mv Nyerere. Asante sana, kwani hali mitandaoni ilikuwa mbaya sana
Mzee hat bavicha hawapingi rambirambi.ulipo wew,bavicha hawajafij bad na hswatofikaSipingani na utaratibu wa kawaida wa kuchangiana na kuwafairiji wenzetu waliopatwa na huu msiba mkubwa...
Ila serikali yetu badala ya kuongeza nguvu kwenye uokoaji wa watu wanakimbilia kuchangisha rambi rambi...
Hatujasahau
1.rambirambi za luck vicent iliyouaa watoto wetu
2. Rambirambi za tetemeko la ardhi
Je na hizi zitawafikia walengwa???
Mi nilijua kafaNimekuja mbio nikidhani waziri kavua koti lake la bendere bendera kazama majini kuokoa watu..., kwaherini!
Mbona mchezo umemalizika mkuu , na uzuri ni kwamba yote yaliyorushwa ni kweli tupu na hayafutiki !Umetusaidia sana kutoa muongozo kwamba hakuna kurusha upuuzi wowote mitandaoni kuhusu ajali ya Mv Nyerere. Asante sana, kwani hali mitandaoni ilikuwa mbaya sana
Mzee hat bavicha hawapingi rambirambi.ulipo wew,bavicha hawajafij bad na hswatofika
Afu password za account anapewa mkulu au RC au nani[emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha mkuu acha bangi[emoji23]Nimekuja mbio nikidhani waziri kavua koti lake la bendere bendera kazama majini kuokoa watu..., kwaherini!
Ikitolewa yote tag me please!Hiyo hela waliotoa tigo sijui itafika na kama ikifika, sijui itafika yote?
UjimaUnawezaji kuzuia mafuriko kwa mkono?
Ajue tu sasa ndio kabisa ameharibu!
Alafu wasitake kuturudisha enzi za ujima!