Unaruhusiwa pia kuwatumia walengwa moja kwa mojaSipingani na utaratibu wa kawaida wa kuchangiana na kuwafairiji wenzetu waliopatwa na huu msiba mkubwa...
Ila serikali yetu badala ya kuongeza nguvu kwenye uokoaji wa watu wanakimbilia kuchangisha rambi rambi...
Hatujasahau
1.rambirambi za luck vicent iliyouaa watoto wetu
2. Rambirambi za tetemeko la ardhi
Je na hizi zitawafikia walengwa???
Ndio maisha yao bila unafiki hayaendi!Watu wabaya sana hawa,wamefeli kwenye uchaguzi wakajaribu kutumia msiba kujipatia ujiko wa kisiasa
Wewe umeenda?
Hujamuona? Huyu hapa anajiangalia kwenye kioo... View attachment 874842
Tunajali matatizo ya watu bila kamera wala magazeti nipo eneo la tukio!Akikujibu unitag mkuu
Natofautiana na wewe japo umekiri mwenyewe kwamba kulikuwa na upungufu wa vifaa.Kile kitendo cha kusitisha uokoaji siku ile ya kwanza ILIKUWA KOSA KUBWA SANA
Nchi kukosa vifaa vya uokozi wakati wa usiku ni AIBU KUBWA
Hebu tafakali, ajali ingetokea usiku TUNGESUBIRI HADI ASUBUHI ndio uokoaji ndio uanze???
Tunajali matatizo ya watu bila kamera wala magazeti nipo eneo la tukio!
Natofautiana na wewe japo umekiri mwenyewe kwamba kulikuwa na upungufu wa vifaa.
Unaniambia vipi nizame usiku wakati hata taa hujanipa?
Sasa huyo mungu si angezuia meli isizame??Mungu ni mkuu...jina lake litukuzweee...
Utasikia mtu anasema hakuna Mungu....
Ulaaniweeee...
Huyu jamaa anawapasua kichwa kwelikweli ase! Mnunueni basis kwa kutumia hike 1.5T mnayohifadhi chato.Mbowe ni mtu mbaya sana,watu wanalia yeye anatafuta ujiko wa kisiasa
Swali zuri kiongozi. Lakini ziwa Victoria ni kubwa na pana.Comrade From Sir With Love
Lawama zote LAZIMA serikali izibebe.
Kwa nini USIMAMIZI ni mbovu??
Aidha kwa nini hatuna VIFAA vya uokozi nyakati za usiku zikiwemo hizo TAA??