Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Mm naona walisitisha uokozi ili wafe watu wengi...wajipatie rambirambi za kuwatosha.!
 
Tumezoea serikali kukwepa majukumu yake, usishangae Hela ya rambi rambi inapangiwa matumizi mengine ya kununua kivuko wakati ni jukumu la serikali, yale yale ya bukoba Hela ya rambi rambi kurekebisha bara bara na hospital,
Mimi sichangi
Britannica
Kuna mwendawazimu atachanga pesa kweli???
 
Makomeo alikosea kusema amechagua kichaa mwenzake sasa kiuhalisia ndio yeye Kenge mwitu
 
"Imeahindikana" ndiyo neno gani? Au umeandika kilugha chenu? Mijitu mingine ni Mizigo, ndiyo maana SACCOS inawafia mikononi.
 
Kweli kabisa
Hata tukio la DB COOPER kuteka ndege na kutorokea mlango wa nyuma lilifanya watengeneze kifaa kinachoitwa cooper vane kwenye ndege na pia sheria mpya
 
Tumezoea serikali kukwepa majukumu yake, usishangae Hela ya rambi rambi inapangiwa matumizi mengine ya kununua kivuko wakati ni jukumu la serikali, yale yale ya bukoba Hela ya rambi rambi kurekebisha bara bara na hospital,
Mimi sichangi
Britannica
Nyie wapiga makofi huwa hamjielewi
Too pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…