Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Na wewe vaa magwanda yako ya mgambo!
 
Wanafanya hivi kwa sababu wananchi wengi ni nyumbu vichwani na hawajielewi. Mtu anakuua kwa uzembe halafu anafurahia kukuzika!
 

Umemaliza!! Kwa hiyo mawasilano na Mungu yalifanyika kwamba hali ya ziwa itakuwa shwari kesho!! Vitu vingine huwa bora kukaa kimya tu!!
 
Kwa style hii mtazidi na kuzidi kuomboleza

Ova
 
Sawa mkaguzi wa OSHA...tunakusubiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…