Magufuli ndo mtoa vitisho namba moja hao wengine wana muiga.Mkuu, mfariji pekee kwenye jambo kama hili na asiye mnafiki ni MUNGU. Tumwombe kwa nguvu zote, atoe faraja na roho za matumaini mapya kwa waliopotelewa na Ndugu zao na wale majeruhi wapone haraka. Sisi binadamu ndo muda wa kujionyesha mara nyingi kinafiki sana kana kwamba hili suala ni la mtu mmoja au wa aina fulani, ndo wao tuu waongee!!!! Wengine wataambiwa wanaongea siasa!! Duu, sijawahi ona haya mambo!! Msiba ni wa Taifa, watu wawe huru kutoa maoni yao ili tupate machungu au faraja, tuone la kufanyia kazi ili kesho yasitusibu tena!!!!
Nakumbuka hapo nyuma kidogo, jambo kubwa kama hili kunakuwa na coverage kubwa ya viongozi wa kitaifa, kivyama, kidini kupewa fursa kutoa maoni.
Mfano kuna clips nyingi zisizo rasmi kwenye you tube, mpaka wenyeviti wa vijiji wanasema,walishaomba siku nyingi na kupiga kelele kuhusu kurekebishwa usafiri wa eneo hilo.
Nimemsikiliza mzee mmoja ,nafikiri ni Bugora pale alishauri mambo 3.
1. Kivuko kile kiongeze safari , ziwe 4 badala ya 1 au 2 kwa siku ili kupunguza mlundikano.
2. Waliomba zamani tuu, waletewe kivuko kukubwa au kuongezewa kivuko kingine kukidhi ongezeko la idadi ya wasafiri na mizigo
3. Kuwe na soko jingine kule Ukara kupunguza idadi ya wanaovuka kwenda kuhemea Bugorora.
Najiuliza, kutisha mtu kama huyu ili asitoe maoni, yawafikie wadau wengine ni jambo jema? Na je, hiyo nayo ni siasa?
Ninafikiri, Nia ya Raisi wetu ni njema sana, huenda tunaangushwa sana na watendaji wake. Na huenda ndo maana, anajtahidi kwa kiasi chake,afanye ziara nyingi ajionee mwenyewe hali halisi. Pia aliyasema mengi akiwa Simiyu namna mambo mengine hapewi ukweli.
Soma vizuri utanielewa.Ungekuwa wewe ungewalazimisha divers
Sio mapimbi...ni wapumbavuWanatafuta Kiki kupitia Msiba..
Hizo sare za mboga mboga za nini tena huko,hawa jamaa uwa mapimbi sana.
Divers waliogopa giza! WTF!Una utaalam wa masuala ya Diving mkuu!?
Au unajaza server za JF na wewe uonekane! Kuna masuala ni ya kitaalam na hayahitaji Siasa na mihemko.
Mkuu wa mkoa alishauriwa na wataalam (Divers) kusitisha zoezi hilo kutokana na hali iliyojitokeza ndani ya maji.
Hayo masuala ya mke wako sijui mke wa jirani yaache huko huko kwenye vijiwe vya kahawa.
Mbona Mbowe alivaa gwanda alipoongea na waandishi wa habari, hukuona hilo?Kwa mara nyingine CCM imenunua msiba ambalo ulitarajiwa ufanyike kiserikali bila jezi za kijani. Kwenye eneo la maziko nguo za kijani zimeanza kutawala na ni za haohao wanaoshauri tuache tofauti za kiitikadi za kisiasa! Hali hii ndiyo inayotufarakanisha watanzania na lawama wanapewa wanaotengwa!
Hata mie"hali mbaya ya hewa chini ya maji" hii ndiyo naiskia leo kwa kweli!
Walioshindwa uchaguzi sio mbowe, zitto wala mbatia. Ni wananchi ndio walioshindwa uchaguzi. Najua hutaelewaMongela wasamehe bure.Hizo ni hasira na frustrations zao za kushindwa chaguzi wameaamua KU STEAM OUT FRUSTRATION zao kwenye hiyo ajali.
Wamegeuka ghafla wasomi na wataalamu wa vivuko.Nyoooo!!!! wangekuwa wasomi na wataalamu si wangetumia usomi na utaalamu wao kushinda chaguzi?. Wakshindwa chaguzi hata za udiwani tu hugeuka na kujifanya wasomi na wataalamu waliobobea wa ku analyize mambo ya kitaifa na kimataifa!!!! ha ha ha ha
Kweli tuna matatizo ya kuchambua mambo kwani wanaposema tusiweke mambo ya siasa na mambo ya vyama wana maana ya watu wasivae nguo za vyama vyao? Nadhani hapo kuna shida ya kutafakari mamboKwa mara nyingine CCM imenunua msiba ambalo ulitarajiwa ufanyike kiserikali bila jezi za kijani. Kwenye eneo la maziko nguo za kijani zimeanza kutawala na ni za haohao wanaoshauri tuache tofauti za kiitikadi za kisiasa! Hali hii ndiyo inayotufarakanisha watanzania na lawama wanapewa wanaotengwa!
Vipi hao divers wangelazimishwa na mkuu wa mkoa alafu wakaenda kufa ,vipi usingekuja kumlalamikia mkuu wa mkoa kwa kushindwa kusaidia wataalam??Soma vizuri utanielewa.
Divers walikwepa jukumu lao au kwa uzembe, au kwa kukosa vifaa au kwa kukosa maarifa. Tuna wataalam wasio na utaalam. Haikutosha kwa RC kuwakubalia tu bali ilibidi wapatikane watu wenye uwezo.
Fuatilia taarifa za uokoaji. Karibu wote 40 walioopolewa hai waliokolewa na wavuvi na siyo wataalam wa serikali.