Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,819
- 7,638
Weka kapicha au kaclip mkuu!Kwa mara nyingine CCM imenunua msiba ambalo ulitarajiwa ufanyike kiserikali bila jezi za kijani. Kwenye eneo la maziko nguo za kijani zimeanza kutawala na ni za haohao wanaoshauri tuache tofauti za kiitikadi za kisiasa! Hali hii ndiyo inayotufarakanisha watanzania na lawama wanapewa wanaotengwa!