Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Weka kapicha au kaclip mkuu!
 
Raisi anakula sambusa na polisi wa usalama barabarani kuwapongeza kwa kuwabambika makosa madereva!!

Nyie "wakara" endeleeni kuzika wafu wenu sisi tunajenga stediumu kwanza!!
Ulitaka Rais anywe konyagi kama mwenyekiti wenu?
 
Na kila anayesimama kutoa salamu anaanza kwa kumshukuru JPM, badala ya PM Majaliwa aliyeko hapo.
Yaani nilidhani yeye ndiye KAFANIKISHA!!! Sasa mbona wanampongeza? Lazima kuna mchango wake nndiyo maana wenzake wanampongeza!
 
Safi sana uko sahihi hata mi baada ya kugundua kinachompa. Mtu ushindi sio kura tunazoenda kupiga bali hera na mamlaka, niliamua stapiga kura tena maana napoteza mda wangu bure hata hizo hera zinazoandaa chaguzu wanazihatibu bure wakat wanajua sio chaguzi zinazowapa kushinda ni heri wasiwe wanaharibu hera za maendeleo wakat mshindi anajulikana hata kabla ya kupiga kura.
 
Nauliza tu, hivi tukio la leo huko Ukara inakuwaje kutekwa na ccm peke yao wengi wakiwa wamevaa magwanda ya kijani bila kusikia hotuba kutoka kwa kiongozi ye yote wa Upinzani?
 
18th century Ulaya ilikumbwa na mageuzi makubwa. Ni baada ya kuibuka kikazi cha INTELLECTUALS kilichoanza kufanya mambo kwa kufikiri badala ya MAZOEA /MIHEMUKO, kiliitwa AGE OF REASONS. Tawala haramu zilianguka kipindi hicho, hivyo Tanzania kuna haja ya kutengeneza kikazi cha AGE OF REASONS kuleta mabadilko Sina maana kwamba kwasasa kuna Tawala haramu hapana ila kuna haja ya kutengeneza kikazi cha mfumo huo ili kila kitu wawe wana - reason badala ya kusema hewala.
 
ni maagizo kutoka juu
Unataka kuniambia ,order iliotoka juu kwa nafasi yake anaichukua kama ilivyo na kutekeleza bila hata kutoa sababu za kuendelea na zoezi....siamini kama ni order kutoka juu
 
We waache watapa tape tu lakin wajue kabisa watz wa leo sio wa miaka ya 60 tunajua kila wqkifanyacho hata kabla hawajajitetea wao waseme tu wamwkosea kama Viongoz na wataaram na sio kijikosha walifikiri tutawaelewa kwa sababu za kijinga zisizo na mashiko??? Wajipange sana.
 
Ungeweka na picha mkuu,wengine hatuna visimbusi vya Startimes .....Nina hakika TBC watakuwa live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…