Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere chazama, miili 229 ya waliopoteza maisha imeshaopolewa!

Unafiki wa hali ya juu wa Bavicha Mbunge alitegemea mngekuwa naye kwenye msiba lakini hakuna hata kiongozi mmoja wa Chadema aliyehudhuria kwenye huu msiba ndani ya jimbo la Chadema, kwa ubaguzi huu wa kikanda hakika chama hakitafika mbali.
 
Kwenye bandiko langu, umeona lawama yeyote? Ukijiheshimu, ndiyo utaheshimika!!! This tragedy is a national event! Let the people express their feelings irregadlesss of their educational pillars or differences. You as a proffesional, play your part and don't root up anger to innocent observers!
 

Mwenyekiti wa BAVICHA ndio anaandika ovyo ovyo siku hizi?
 
Hadi mzee wao ndesamburo alifariki akiandika cheque ya rambirambi..kweli asiyekujua hakuthamini.
Mimi ushauri wangu wa bure kwa wana Ukerewe na mbunge ni kwamba Msiba ukiisha mbunge wa Ukerewe hamia CCM Na niwaombe wana Ukerewe wampe kura.Kilichofanywa Na Chadema kwa watu wa Ukerewe sio sawa ni ubaguzi wa wazi wa kikabila.
 
Pia ukamkumbushe wanasemaga jeshi langu na watu wangu. Hakuna asiyejua kama yeye sio mtaalamu, ila mjifunze kuchukua mawazo mbadala watu wenu wamefika mwisho katika ubunifu. mawazo mapya ndio haya mnayoyakataa, kwamfano acha Mongela sio mwenye band sasa Kange unavyomuona unafikiri anayomawazo gani mapya au alishabuni kitu gani kabla utegemee aje na jipya zaidi ya tutawakamata tu.

Hii recycling ya watu waliokosa ubunifu ndio watu wana question.
 
eti acheni siasa nyie wapinzani, je wale waliovaa minguo ya kijani msibani ni ya nini?
 
Nasikitik kisema ni fedheaha na aibu kwa miili ya matehemu walichukuliwa na ndugu hata dawa ya kuchoma maiti zisiharibike zinagharamiwa na ndugu wa marwhemu.

Kusafirisha miili ni ndugu wa marehemu kama huna uwezo unatakiwa kuzika kwenye kaburi la pamoja.

Ule ubani kwa wafiwa nani anatoa zisaidie familia za "wanyonge?"

Nimeandika haya kwa sababu nimepokea sms nikiombwa mchango kusaidia dawa ya kumchoma marehemu na kupata jeneza maana majeneza ya serikali yalishaisha na sisemi kwa ubaya ila hawa marehemu yale majeneza ni aibu kama tunasafirisha nyanya kumbe mwili wa mtanzania
 
Wamekufa raia wasio na hatia iatakuwa watu wanaolipwa na kusomea???! Wangekuwa mashujaa katika list ya mashujaa wa nchi hii.
Vipi hao divers wangelazimishwa na mkuu wa mkoa alafu wakaenda kufa ,vipi usingekuja kumlalamikia mkuu wa mkoa kwa kushindwa kusaidia wataalam??
 
Wewe ni mbwiga kweli!

Unapokea sms ya matapeli kisha unaleta huku?

Tuoneshe hiyo sms na mtu akiyetuma weka namba yake hapa
 
Kwa hiyo Bodi ya ushauri wa mafundi Umeme Temesa Ndio inayoshughulikia vivuko vya tanzania?!
Ndio mkuu vyombo vyote vya usafiri majini vya serikali viko chini ya Temesa na haviusiani kabisa na sheria zozote za marine ambazo ni merchant shipping act au ferry act wao kanuni zao ni tofauti nadhani wanazijui wanao fanya kazi huko
 
Watakuwa wamekata malipo ya majeneza na kuikarabati mochwari. Tuvute subira tupate maendeleo. Bado tunasubiri michango ya rambirambi tukakarabati kivuko.
 
Nadhani ni wakati muafaka viongozi wakaelewa kuwa wananchi wa sasa sio wa kipindi cha Nyerere! Wataalamu gani washindwe kuchezea maji ya ziwa tena 50s meters tu toka nchi kavu kwa kisingizio cha giza/hali ya hewa! Shame!
 
Unajua tabia za hawa watu? Kwa midomo wewe changa tu, kama hauna we acha. Ni watu wajuaji ile mbaya.
 
Mungu ibariki Bavicha , Taasisi pekee ya vijana inayovuma kwenye eneo la maziwa makuu
 
Viongozi wa upinzani wamekasilishwa sana na tamko la mbunge wa Ukerewe (CDM) kuwa, mapungufu aliyowasilisha Bungeni, serikali iliyafanyia kazi! Viongozi wake wamechukulia kuwa amewazodoa kwa kiki waliyotarajia kuipata kupitia msiba huu.
Walitaka aseme uongo na kuzira km nyumbu wengine wanavyopotosha mitandaoni. Walitaka kiki wamekwamishwa.
 
Ungekuwa wewe ungewalazimisha divers
Siku ya kwanza kuna diver yeyote aliyeekwepo kuokoa manusura au wananchi tu ndo walikuwa wanasaidiana wao Kwa wao,maana tumesikia kuwa wananchi na Vyombo vyao duni wameokoa 40 na serikali yenye Vyombo vya kisasa imeokoa mmoja.Eti hii ni kweli au watu wanachochea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…